Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Mkoani Kilimanjaro, Anne Kilango Malecela amesema kuwa Tanzania inajengwa kwa kasi na kwamba wananchi wanapaswa kuona ukweli wa maendeleo yanayofanywa na Serikali.
Akizungumza Bungeni leo, Malecela amesema: "Kalbla sijasema lolote, naomba niseme ukweli...