Anne Kilango: Rais Samia anajenga sana nchi, Dar imejengwa mno, Dereva wangu alishindwa kuendesha gari tukaomba dereva mzoefu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Mkoani Kilimanjaro, Anne Kilango Malecela amesema kuwa Tanzania inajengwa kwa kasi na kwamba wananchi wanapaswa kuona ukweli wa maendeleo yanayofanywa na Serikali.

Akizungumza Bungeni leo, Malecela amesema: "Kalbla sijasema lolote, naomba niseme ukweli. Tanzania inajengwa, barabara zinajengwa mno. Tujaribu kusema ukweli… watu wengine wanasema kwasababu hawajasafiri kwenda nchi zingine. Mtu anasema hajaenda Kenya, mtu anasema hajaenda Uganda, mtu anasema hajaenda Rwanda wala Burundi… analalamika ooh! Hatujengi! Hapana. Serikali, naomba niseme ukweli, Rais Samia anajenga sana nchi."

Mbunge huyo pia alisisitiza maendeleo kwenye miundombinu ya barabara: "Naomba nizungumze uapande wa barabara, barabara zinajengwa. Watu mnaotoka Dar es Salaam, mimi ni mgeni pale, lakini nimefika Dar es Salaam, ikabidi dereva wangu ashindwe kuendesha gari langu tukaomba dereva mzoefu Dar es Salaam. Dar es Salaam imejengwa mno!"

1769506259270.png
 
yaani hii ndio PREVIEW ya next 5 years itakavyokuwa,
UCHAWA PRO MAX mbele kwa mbele
 
Inatia hasira kiongoz anasimama halaf anaonge trash

Anadhani anaongea na kizazi cha 60s? Unafanganya in publick?
 
Kanisa katoliki wanachukia kuskia maneno hayo...in fact samia anajenga nchi yote na kila kona kuna miradi inaendelea...

Tuna imani hadi anaondoka madarakani taifa litakuwa limepiga hatua kubwa sana Insha Allah
 
Inatia hasira kiongoz anasimama halaf anaonge trash

Anadhani anaongea na kizazi cha 60s? Unafanganya in publick?

Sasa kusafiri kwenyewe mwisho wako ni hapo kwenu maswa utaweza vipi kuelewa kinachozungumzwa??
 
Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Mkoani Kilimanjaro, Anne Kilango Malecela amesema kuwa Tanzania inajengwa kwa kasi na kwamba wananchi wanapaswa kuona ukweli wa maendeleo yanayofanywa na Serikali.

Akizungumza Bungeni leo, Malecela amesema: "Kalbla sijasema lolote, naomba niseme ukweli. Tanzania inajengwa, barabara zinajengwa mno. Tujaribu kusema ukweli… watu wengine wanasema kwasababu hawajasafiri kwenda nchi zingine. Mtu anasema hajaenda Kenya, mtu anasema hajaenda Uganda, mtu anasema hajaenda Rwanda wala Burundi… analalamika ooh! Hatujengi! Hapana. Serikali, naomba niseme ukweli, Rais Samia anajenga sana nchi."

Mbunge huyo pia alisisitiza maendeleo kwenye miundombinu ya barabara: "Naomba nizungumze uapande wa barabara, barabara zinajengwa. Watu mnaotoka Dar es Salaam, mimi ni mgeni pale, lakini nimefika Dar es Salaam, ikabidi dereva wangu ashindwe kuendesha gari langu tukaomba dereva mzoefu Dar es Salaam. Dar es Salaam imejengwa mno!"

Ndugu zetu watalii karibuni Tanzania mjionee maajabu ambapo mtu kushindwa kuendesha gari hata kama barabara ni mbaya anaita maendeleo.
 
Back
Top Bottom