Here we go again—msimamizi wa Serikali arejea kwa kishindo kwenye role pendwa ya kumuimbia mtawala nyimbo za praise and worship!Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Mkoani Kilimanjaro, Anne Kilango Malecela amesema kuwa Tanzania inajengwa kwa kasi na kwamba wananchi wanapaswa kuona ukweli wa maendeleo yanayofanywa na Serikali.
Akizungumza Bungeni leo, Malecela amesema: "Kalbla sijasema lolote, naomba niseme ukweli. Tanzania inajengwa, barabara zinajengwa mno. Tujaribu kusema ukweli… watu wengine wanasema kwasababu hawajasafiri kwenda nchi zingine. Mtu anasema hajaenda Kenya, mtu anasema hajaenda Uganda, mtu anasema hajaenda Rwanda wala Burundi… analalamika ooh! Hatujengi! Hapana. Serikali, naomba niseme ukweli, Rais Samia anajenga sana nchi."
Mbunge huyo pia alisisitiza maendeleo kwenye miundombinu ya barabara: "Naomba nizungumze uapande wa barabara, barabara zinajengwa. Watu mnaotoka Dar es Salaam, mimi ni mgeni pale, lakini nimefika Dar es Salaam, ikabidi dereva wangu ashindwe kuendesha gari langu tukaomba dereva mzoefu Dar es Salaam. Dar es Salaam imejengwa mno!"
Mtu anayebebwa na chama miaka nenda rudi atasemaje?Akili za kijinga sana hizi!.
kauli kama izi asiongee mtu mbele yangu naweza nikamwokotea mawe nikampopoa!.Mtu anayebebwa na chama miaka nenda rudi atasemaje?
UBunge ushakuwa fadhila toka CCM!Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Mkoani Kilimanjaro, Anne Kilango Malecela amesema kuwa Tanzania inajengwa kwa kasi na kwamba wananchi wanapaswa kuona ukweli wa maendeleo yanayofanywa na Serikali.
Akizungumza Bungeni leo, Malecela amesema: "Kalbla sijasema lolote, naomba niseme ukweli. Tanzania inajengwa, barabara zinajengwa mno. Tujaribu kusema ukweli… watu wengine wanasema kwasababu hawajasafiri kwenda nchi zingine. Mtu anasema hajaenda Kenya, mtu anasema hajaenda Uganda, mtu anasema hajaenda Rwanda wala Burundi… analalamika ooh! Hatujengi! Hapana. Serikali, naomba niseme ukweli, Rais Samia anajenga sana nchi."
Mbunge huyo pia alisisitiza maendeleo kwenye miundombinu ya barabara: "Naomba nizungumze uapande wa barabara, barabara zinajengwa. Watu mnaotoka Dar es Salaam, mimi ni mgeni pale, lakini nimefika Dar es Salaam, ikabidi dereva wangu ashindwe kuendesha gari langu tukaomba dereva mzoefu Dar es Salaam. Dar es Salaam imejengwa mno!"
Dar es Salaam imejengwa mno
SGR Lot no 3 Makutupora -Tabora ujenzi umesimama na Waturuki wamefunga makambi baada ya serikali kukosa fedha za kuendeleza ujenzi.. hiyo habari unayo umpenyezee Kahaba Chura ?Sasa kusafiri kwenyewe mwisho wako ni hapo kwenu maswa utaweza vipi kuelewa kinachozungumzwa??