uchawa wa viongozi wa dini

  1. Suley2019

    Sheikh Nurdin Kishki: Uchawa unakatazwa katika Uislam

    Wakuu niaje? Nimekutana na clip ya Sheikh Kishki akisema kuwa Uchawa (kujipendekeza kwa watu ili update maslahi kumekatazwa katika Uislam). Vipi kuhusu viongozi wetu wa dini ambao wamekuwa machawa wabobevu? Hebu msikilize mwenyewe hapo chini utie neno
Back
Top Bottom