uchawa wa viongozi wa dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sheikh Nurdin Kishki: Uchawa unakatazwa katika Uislam

    Wakuu niaje? Nimekutana na clip ya Sheikh Kishki akisema kuwa Uchawa (kujipendekeza kwa watu ili update maslahi kumekatazwa katika Uislam). Vipi kuhusu viongozi wetu wa dini ambao wamekuwa machawa wabobevu? Hebu msikilize mwenyewe hapo chini utie neno
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…