uchumba na ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna haja ya kuanzisha taasisi maalum yakutafutia vijana wachumba wa kuoa kabisa sio ajira pekee yake

    Napendekeza hilo kwasababu mahangaiko ya vijana wa kike na wa kiume katika kutafuta wanchumba, wenza na wake wa kuoa ni makubwa mno huku changamoto ya kila moja kumpata mwenza wake ikiwa ni kubwa mno. Napendekeza pawepo na taasisi maalumu yenye vituo maalumu mikoa mbalimbali kwajili ya vijana...
  2. Ushauri: Amejifungua lakini hataki niwaone watoto wangu. Nimshtaki?

    Wakuu Salaam!!!!! Nilikuwa nipo kwenye mahusiano na binti mmoja hivi,tuli-date na mwisho wa siku akawa amenasa ujauzito na akaniambia kuwa Mimi ndio Muhusika,basi nikakubali japo nilikuwa nina mashaka sana Kuna muda niliambiwa kuwa yuko kwenye mahusiano na jamaa yangu na wakati bado ana...
  3. Ushauri na unabii wangu kwa mitume na manabii wa leo kuhusu uchumba na ndoa kwa vijana wa leo

    Kuliko mabinti, wasichana na wananawake pekee kujaza makanisa na masinagogi wakitafuta wenza na wachumba kwa maombi na maombezi kwenye nyumba za ibada, Uko umuhimu wa kufanya kongamano la kitaifa na mikesha maalumu kwa vijana wa miaka 18-40, wa kike na kiume, ambao bado hawajaoa wala kuolewa...
  4. Dating sio utamaduni wa mwafrika.

    Imezoeleka kusikia mabinti wakisema nadate na mtu fulani au fulani anadate na fulani au nataka kudate na fulani. Kudate ni ile aina ya mahusiano ambayo watu wawili wasio jua hatima yao wanaamua kuwa pamoja wakifanya mambo au kuwa na ratiba as if ni wapenzi lakini sio wapenzi rasmi. Sisi...
  5. OMBEENI UHUSIANO, UCHUMBA NA NDOA YENU BILA KUCHOKA..

    ni muhimu sana kama wenza kuombeana mema kwa Mungu, na kwa hakika Neema na Baraka za Mungu zitaandamana na kuambatana na kila moja wenu na kwa imani thabiti mtaweza kuyashinda majaribu mazito na magumu mtakayopitia kwa urahisi na wepesi sana.... hongereni sana kwa hatua mliyofikia, Mungu...
  6. Nipo tayari kumuoa ila yeye hayupo tayari, mnanishauri nini?

    Wadau Saluti Nipo na huyu mwanamke yeye ana kama miaka 20 hivi anasifa zote za kuwa Wife Materials, yeye anashona cherehani mbali na kushona hanaga harakati nyengine yaani katulia 100% Mimi naona umri umeenda na sio wakati wa kuwa na mahusiano yasio rasmi hivyo nataka kuoa ila nikimwambia nia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…