Hatari na hasara za kutangaza kutafuta mwenza kwa ajili ya uchumba na ndoa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Kwa mtazamo na ufahamu wako uko sahihi sana.. Kwakuwq umeshajiandaa umeshajipanga na nia yako ni dhabiti na ni kamili

Tayari kichwani una picha ya ujumla ya umtakaye ambaye naye yuko kamili na nia yake ni kamili na ni thabiti kamq yako! Akitokea wa namna hii umelamba dume!
LAKINI wa namna hiyo (Mr/mrs right) ni wa kutafuta kwa darubini

Wanaoptikana kwa haraka ni hawa
1. Hana mapenzi bali ana vibe la sherehe na kuvaa shela na kupiga picha

2. Hana mapenzi nawe bali anatafuta mtu wa kumhudumia bila masharti wakati anajipanga

3. Hana mapenzi nawe ana stress na maumivu za kuachwa na X wake. Hivyo anataka amtambie

4. Hana mapenzi bali ameshachungulia fursa na kuona akiwa ndani ya ndoa atachuma akitosheka atasepa

Na sababu nyinginezo nyingi!
Kiuhalisia tafuta/tanga za kutafuta mpenzi bila kutangaza malengo.. Malengo humrahisishia mwindani kukunasa

Hii ni ndoa! A life time contract! Hakuna haja ya kuharakia.. Anzeni na mapenzi muone kama mnapendana kweli.. Na kama chemistry yenu Ina tally
Mitazamo yenu kwenye kila kitu
Maono yenu kwenye kila kitu
Matendo yenu kwenye kila kitu
Talanta na vipawa na vipaji
Madhaifu yenu na upande wa giza!
Kuna mchakato mrefu wa kupitia kabla ya kufikia kuwaza ndoa!
Ukitangaza malengo atatembea humohumo na mkishaanza maisha ya ndoa ndio utaanza kuona uhalisia wake!

Mwisho wa siku ni kuishi jehanum ya gereza la ndoa ama talaka na kuishia kusema ndoa ni mbaya!
 
Mwisho wa siku ni kuishi jehanum ya gereza la ndoa ama talaka na kuishia kusema ndoa ni mbaya! 🙏
 
Mimi nitaendelea kutafuta mchumba mpaka pale nitakapompata hata kama atakuwa mwenye sifa ulizozitaja mzee Mshana Jr, maana huku mtaani hali mbaya kila nipitako wanawake wanatema mate,why nisijimwaye mwaye humu jf kusearch mchumba mwenye uhai tu tabia nitambadilisha mimi
 
Unaanza tena kulea mtu na kuwa kama mzazi wake ...
HUo muda mnaupatia wapi...
Tabia ni kama ngozi, na wengi wenu ndio mnakuja kulia baadae...
Ukishaona mtu ana tabia mbaya /tabia huipendi , just move on, atapata mwenzake wa kuendana na tabia yake... ukitaka kujitia mzee wa kurekebisha tabia, utalia baadae...
 
sasa kama mtaani siwapati unataka nisioe?
 
Mimi nitaendelea kutafuta mchumba mpaka pale nitakapompata hata kama atakuwa mwenye sifa ulizozitaja mzee Mshana Jr, maana huku mtaani hali mbaya kila nipitako wanawake wanatema mate,why nisijimwaye mwaye humu jf kusearch mchumba mwenye uhai tu tabia nitambadilisha mimi
😀 nakuombea sana Mwenyezi Mungu akupe hitaji la moyo wako.. Ninaamini kwa dhati ya moyo utapata
 
Tatizo watu wamechukulia Ndoa ni km jambo la lazima, kumbe ni la Hiyari,

Shida inakuja mtu hajui hata nini maana ya ndoa na kwanini anaingia kwenye ndoa. Yaani unaingia kwenye muungano wa ndoa kwasababu za kidini, kimila, na tamaduni tu. Ila wewe mwenyewe unakua huna falsafa au mtazamo wako binafsi kuhusu kwanini unataka kuoa au kuolewa. Mbaya zaidi haulinganishi ni kwa kiasi gani mtazamo wako kuhusu ndoa unafanana na wa mwenza wako kabla hujaingia kwenye mkataba wa ndoa na mwenza wako.
 
Back
Top Bottom