win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
kuna wengine huwa wanabahatisha vizuri tu mfano mzuri ni babu makaveli10,, na mimi nafuata nyayo zake mdogo mdogo🤭💃
Nakuombea kila la heri mjukuu wangu, mie babu yako nipo hapa nitakusapoti.kuna wengine huwa wanabahatisha vizuri tu mfano mzuri ni babu makaveli10,, na mimi nafuata nyayo zake mdogo mdogo🤭💃
Amina babuNakuombea kila la heri mjukuu wangu, mie babu yako nipo hapa nitakusapoti.
Haswaaa!Shida inakuja mtu hajui hata nini maana ya ndoa na kwanini anaingia kwenye ndoa. Yaani unaingia kwenye muungano wa ndoa kwasababu za kidini, kimila, na tamaduni tu. Ila wewe mwenyewe unakua huna falsafa au mtazamo wako binafsi kuhusu kwanini unataka kuoa au kuolewa. Mbaya zaidi haulinganishi ni kwa kiasi gani mtazamo wako kuhusu ndoa unafanana na wa mwenza wako kabla hujaingia kwenye mkataba wa ndoa na mwenza wako.
Ila wanaume wa dar wengi ni waseng e waseng e sana wamelegea kinoma hawataki kazi na maisha mazuri wanataka, kenge maji hiziMimi atakayenioa sitaki anipande kichwani, sitaki anishike masikio. Akizingua nampiga sitaki utani na furaha yangu 😹😹😹
Haya waoaji njooni