Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridiano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo tarehe 05 Aprili, 2022 katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
=========
Updates:
RAIS SAMIA AMEELEZA HAYA:
Binafsi...
Mwaka 2019 bank ya dunia ilitangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati miaka mitano mapema zaidi kinyume na ilivyokuwa imetabiriwa kwamba itachukua miaka kumi.
Je, kuwahi huku kuingia uchumi wa kati ilikuwa ni matunda ya nidhamu ya uoga? Kama nidhamu ya uoga ina matunda kiasi hiki kwa nini...
HDI kwa kifupi inaangalia Afya na umri wa wananchi , pamoja na ubora wa maisha wanayoishi. Pia ndio inayopima kama taifa limeendelea au liko chini.
Kwa sasa Tanzania iko katika kundi la chini kabisa nafasi ya 163 , kinachoshangaza hata Comoro na Uganda wametupita.
Kwa haraka tu nadhani Watz...
Rais Samia amesema kuingia kwetu katika uchumi wa kati ni kupanda daraja na wafadhili wanapunguza sana misaada kwa sababu sasa tunastahili kujitegemea kwa kiasi kikubwa.
Rais Samia amesema hayo katika sherehe za miaka 50 ya hospitali ya Bugando na kuwataka watanzania wafanye kazi kwa bidii...
Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na miongoni mwa maswali ya leo, ni swali linalohusu Tanzania kuingia kwenye uchumi wa Kati kwa kutumia vigezo mbalimbali vya kidunia.
Swali (Money Maker): Tuna idadi ya watu takribani milioni 56 wenye madaraja tofauti ya uchumi, katika idadi hiyo kuna...
Dar es Salaam
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeanzisha mpango wa "kibubu" utakaowawezesha wananchi kulipia kidogo kidogo mpaka atakapo kamilisha malipo ya tiketi yake ya ndege.
Katika mpango huo, mwananchi atatakiwa kuweka Sh50,000 kwa mara ya kwanza na kiasi kinachobakia atatakiwa kulipa...
Tanzania ilipo panda kwenye viwango vya kiuchumi, watu wote tulifurahi sana, tulitunga nyimbo na mashairi shatashata.
Tangu mama ameingia amekuwa akiupiga mwingi sana, pia kwa kuongeza Kodi kwenye mafuta na tozo kwenye miamala ya simu nadhani atakuwa ameboresha sana mfuko wetu wa hazina.
Pia...
Wakati tunashangilia kuingia Uchumi wa Kati basi ujue Tulikuwa tunashangilia yafuatayo;
1.Nchi kuhama kutoka kupewa mikopo nafuu na ya mda mrefu na kukopeshwa mikopo ya Kibiashara.
2.Kukoma au Kupungua kwa misaada ya wahisani.kama misaada ya kibajeti nk
3.Kuanza kujitegemea kwa kila...
Katika Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2021/22 Serikali imedhamiria kukusanya mapato kutoka kwenye tozo za miamala ya simu, Tozo hizi ambazo katika macho ya watanzania wengi zinaonekana kandamizi na zisizo kubalika zilianza kutumika rasmi 15 July mwaka 2021 suala lilo zua mijadala ya...
MAKATO YA MIAMALA YAPO POA! YANALANDANA NA UCHUMI WETU WA KATI
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Nimefurahishwa na mambo yaendavyo, mwaka Jana tulipigiwa mbiu kuwa tumeingia uchumi wa Kati. Watu walifurahia hasa wenye mrengo wa kuishabikia CCM na Wanachama wa CCM pamoja na Watanzania WA kipato cha...
Mh Kitila Mkumbo amezindua tela bora lenye uwezo wa kubeba mizigo ya hadi tani 5 lilotengenezwa Nchini Tanzania .
Ubora wa tela hilo umethibishwa na Shirika la viwango nchini Tanzania TBS
==========
Nimesoma hii Habari ;
"Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amezindua Tela la...
Unajua hawa watu wanatufanya mazezeta aisee ukweli ni kwamba kikwete ndo alifanya Tanzania kuingia uchumi wa kati kwa hoja zifuatazo:
Kwanza kabisa kigezo cha kua uchumi wa kati mdogo unapaswa uwe na Per capita income ambayo ni dola za kimarekani $1036 hadi $4045.
Kwa uchumi wa kati mkubwa...
Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima amesema watanzania wengi hawaelewi athari za nchi kuwa uchumi wa kati.
Ni kwamba unapoingia katika kundi la uchumi wa kati zile fursa zote ulizokuwa unapata kama nchi maskini zinatoweka na usipokaza buti ni rahisi sana kurudi kwenye uchumi wa chini.
Chanzo: TBC...
Habari zenu wadau!
Mwaka 2020 tulitangaziwa Tanzania kusajiliwa kuwa miongoni mwa nchi ambazo wananchi wake wamefikia kiwango cha Uchumi wa Kati wa chini yaani Lower Middle Income Country.
Hesabu hiyo huwa inazingatia GNI per Capita Income ambayo ina range Kati ya $1'036-$4,045 ,,ambapo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.