uchumi wa vijana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania BRELA yasisitiza ulinzi wa Miliki Ubunifu kuinua uchumi wa Vijana kuelekea Dira 2050

    Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kupitia kikao cha ufuatiliaji na uendelezaji wa bunifu za wabunifu vijana kilichofanyika leo tarehe 27 Agosti 2026 Jijini Dodoma, imesisitiza kuwa ni muhimu kulinda haki za Miliki Ubunifu ili ziendelee kutumika kama nguzo kuu itakayoinua uchumi wa...
  2. JamiiForums Tanzania CHAUMMA: Serikali haina mpango wowote wa kutatua umasikini wa vijana

    Jukwaa la Vijana la CHAUMMA limeikosoa Bajeti Kuu ya Serikali ya Sh trilioni 62.33 kwa mwaka 2026/2027, likidai ni "kiini macho" kinacholinda matumizi ya viongozi huku wananchi, hasa vijana, wakiendelea kukabiliwa na umaskini na ugumu wa maisha. Mratibu wa jukwaa hilo, Masoud Kimambo, amesema...
  3. JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii jinsi inavyoinua uchumi wa vijana

    MITANDAO YA KIJAMII JINSI INAVYOLIPA!!! FURSA YA KIPEKEE YA KUKUZA KIPATO CHAKO! Je, unatafuta njia ya kuongeza kipato chako kupitia mitandao ya kijamii ukiwa nyumbani au popote ulipo? Karibu kwenye Kampuni ya Eternal International – mahali ambapo ndoto zako za kifedha zinaanza kuwa kweli...
  4. JamiiForums Tanzania Kijana na Maisha, uchumi kama kileta furaha

    Ndugu zangu Wana jukwaa hili. Nategemea kutoa andiko kwa vijana. Kutokana na uzoefu wako naomba unisaidie kujibu haya maswali yangu. 1. Ni jinsi gani kijana anatakiwa aishi ili kuwa na furaha bila uchumi/kipato? 2. Ni jinsi gani kijana anatakiwa kutafuta uchumi/kipato ili aishi kwa furaha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…