uchumi wa wanawake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mradi wa PAMOJA kukuza uchumi wa Wanawake na kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia

    Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania (PAMOJA) unaotarajiwa kuzinduliwa rasmi Machi 08, 2026 mkoani Geita na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima utaimarisha fursa za kiuchumi kwa wanawake wa vijijini na kuboresha upatikanaji wa huduma kwa...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Esther Malleko Ajikita Kuinua Uchumi wa Wanawake Wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro

    ESTHER MALLEKO AJIKITA KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA ZA MKOA WA KILIMANJARO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko tarehe 27 Aprili, 2025 amefanya ziara, pamoja na mambo mengine amekabidhi picha za Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza na Jitihada za Kuinua Uchumi wa Wanawake Wilaya ya Songwe

    JULIANA SHONZA NA JITIHADA ZA KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA SONGWE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ametembelea vikundi vya ujasiriamali vya Wanawake alivyovianzisha na kuvipa mitaji ili kuwainua kiuchumi kwa shughuli za kujiajiri wanazozifanya Juliana...
  4. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Juhudi za makusudi zinatakiwa ili kuwakomboa wanawake kiuchumi

    Utafiti inaonesha wanawake wa Tanzania Ni duni kuliko wanaume. Juhudi za makusudi zinatakiwa kufanywa ili kuwakomboa wanawake kiuchumi. Ikiwa Ni pamoja na wao wenye kuamka na kuanza kujiinua kiuchumi. Aidha mambo haya yanapaswa kuzingatiwa kwa wanwake 1. Kutambua umuhimu wa Elimu 2. Kufanya...
Back
Top Bottom