Na:Abdull Najad Faiq
Zote Tanzania bara na Zanzibar linapokuja jambo ambalo lipo ndani ya orodha ya mambo ya Muungano, huwakilishwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndio Serikali mama inayopanga sera na dira ya nchi kimataifa
Uchumi wa Zanzibar na Tanzania bara kamwe hauwezi...