Huwezi amini!
Anayemteka Mtanganyika ni Mtanganyika, anayemuua Mtanganyika ni Mtanganyika, anayempoteza Mtanganyika nu Mtanganyika.
Ukimuuliza kwanini unamfanyia hivyo kaka yako mdogo wako, anasema Mwansiasa.
Ipo Siku akili za Watanganyika waliokabidhiwa Bunduki watagundua kwamba wanaua...
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema ndani ya kipindi cha miaka miwili ijayo Bandari Jumuishi ya Mangapwani itakuwa imekamilika kwa lengo la kuinua uchumi wa Zanzibar na kufungua fursa pana za biashara, ajira na uwekezaji.
Akizungumza...
Na:Abdull Najad Faiq
Zote Tanzania bara na Zanzibar linapokuja jambo ambalo lipo ndani ya orodha ya mambo ya Muungano, huwakilishwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndio Serikali mama inayopanga sera na dira ya nchi kimataifa
Uchumi wa Zanzibar na Tanzania bara kamwe hauwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.