Nikiwa mdau wa biashara inayotumia dola kwa malipo mbalimbali, nimekuwa mhanga wa upotevu wa dollar. Leo imenibidi nieleze niliyoyaona.
Unaweza fika bureau change, na Kuna watu wengi wanabadilisha dollar, ukifika dirishani uweze kupatiwa dollar, wanakuambia hawana, hii ni uhujumu uchumi kabisa...