uchumi

  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki Achangia Milioni 29 Kuinua Uchumi wa Wanawake Mkoa wa Katavi

    MHE. MARTHA MARIKI ACHANGIA MILIONI 29 MAKUNDI YA AKINA MAMA MKOA WA KATAVI ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameendelea na ziara yake katika Kata mbalimbali za Mkoa wa Katavi huku akikabidhi Shilingi Milioni 29 za kuwawezesha wanawake...
  2. M

    Zanzibari kukataza wanaume kusuka sio jambo la kimaadili ila ni chanzo kipya cha uchumi

    Labda ningependa kuwatafakarisha watanzania wenzangu kwa jambo hili. Hivi tunaweza kutoza shilingi ngapi ili kuruhusu mtu kuzidisha mwendo kasi kwenye barabara za makazi ya watu? Au kumruhusu mtu kukata viungo vya albino? Au kufanya uwindaji haramu kwenye mbuga na bahari? Ninacho jaribu kusema...
  3. Lord denning

    Mzee Butiku ana lipi la kushauri kuhusu Uchumi?

    Hili halisemwi sana ila ndo ukweli wenyewe! Moja ya sababu zilizofanya Mwl. Nyerere aamue kung' atuka mwaka 1985 ni kutokana na kufeli kwa Sera zake za kiuchumi hasa za kijamaa. Ilifika kipindi watanzania walianza kuvaa nguo zenye viraka na hata ununuzi wa bidhaa madukani ulifanyika kwa...
  4. ankol

    Jinsi uchumi wa nchi unavyoathiriwa na biashara ya bodaboda

    Salaam wadau. Leo ningependa kuelezea jinsi gani uchumi wa nchi unavyo/takavyoathiriwa na biashara ya bodaboda. Biashara hii inayokua kwa kasi kila uchao imekua ni kimbilio la vijana wengi wanaotafuta maisha hasa kutokana na ukweli kua ni biashara rahisi isiyohitaji mtaji na nguvu kazi kubwa...
  5. Ramsey255

    SoC03 Uchumi bora utawala bora

    Mabadiliko katika suala la uchumi ni muhimu sana katika kuleta utawala bora na uwajibikaji katika nchi yoyote. Uchumi imara na wenye kustawi ni msingi wa maendeleo ya jamii na kupunguza umaskini. Nchini Tanzania, mabadiliko katika uchumi yanaweza kuwa chachu ya kuchochea utawala bora na...
  6. Roving Journalist

    Njombe: Wananchi wafunga ofisi ya kijiji wakidai mwenyekiti anahujumu uchumi wa kijiji

    Wananchi wa kijiji cha Ngelenge wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wamelazimika kuifunga ofisi ya mwenyekiti wa kijiji chao Bwana Thomas Mkinga wakimtuhumu kuwa anahujumu uchumi wa kijiji huku wakimtaka ajiuzulu kwenye nafasi yake. Frolence Haule ni mmoja wa wananchi wa kijiji hicho ambapo amesema...
  7. Econometrician

    TANZIA Dkt. Elineema Kisanga wa UDSM Idara ya Uchumi afariki Dunia

    Dkt. Elineema Kisanga lecturer wa shule ya Uchumi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam amefariki Dunia Leo asubuhi. Taarifa zinasema kuwa mauti yamemfika akiwa mazoezini, Leo asubuhi ambapo alianguka na kufariki hapo hapo. Kwa wale mliosoma undergraduate, masters na Phd UDSM hope mtakuwa mnamkumbuka...
  8. Crocodiletooth

    Naomba ufafanuzi kwa anayetumia majiko haya ya induction je yanafaa kwa uchumi wa kitanzania

    Inasemekana ndio majiko bora zaidi duniani na salama kuliko majiko yoyote yale, kwa anayetumia atujuze kuhusu sisi wanyonge, je yanatufaa?
  9. JET SALLI

    Ni lini serikali itaweka Rami barabara ya Mlowo kwenda Kamsamba eneo lenye uchumi mzuri

    Ninaamini viongozi wengi mnapita humu Jamii Forums, naamini hata mbunge wa eneo hili la Mbozi anasoma humu. Nimepita barabara hii wiki iliyopita na kufanya utafiti na nikagundua kwamba barabara hii iko busy muda wote, ila haijatendewa haki, na sijasikia mbunge wa eneo hili akiizungumzia...
  10. peno hasegawa

    Wasomi wenye kufahamu Uchumi wa buluu maana,faida na hasara zake Tafadhali?

    Ninaomba mawazo yenu hili neno ninaona litakuja kufanana na KILIMO KWANZA AWAMU YA NNE.
  11. M

    Kwenye suala la kuendesha vitega uchumi na rasilimali zetu, Watanzania tuache kujidharau

    Ndugu zangu nimeona nami nianzishe huu uzi ili tusaidiane kuwaza na kusafiri pamoja. Hoja yangu inaanzia kwenye hili jambo la Bandari na huu uwekezaji wenye utata. Mosi: nadhani kama kuna watu wa kubeba lawama ni wale waliyopewa dhamana ya kuongoza serikali kwa kushindwa kusimama kwenye nafasi...
  12. M

    Nifanyeje niweze kubadili pesa hii?

    MTANZANIA MWENZENU YAMENIKUTA... Kuna likampuni la marekani lilinidanganya niwekeze. Halafu faida inayopatikana litanitumia asilimia kumi ya faida. Kweli faida limenirushia lakini kwa njia ya sarafu za digital. (Cryptocurrency). Nimepata $2,332. Nifanyeje ili niweze kuibadili iwe...
  13. Mwl.RCT

    SoC03 Mkataba wa Bandari na DP World: Athari za Kimkataba kwa Uchumi wa Tanzania na Uwajibikaji wa Serikali kwa Wananchi wake - Je, ni Faida au Hasara?

    MKATABA WA BANDARI NA DP WORLD: ATHARI ZA KIMKATABA KWA UCHUMI WA TANZANIA NA UWAJIBIKAJI WA SERIKALI KWA WANANCHI WAKE - JE, NI FAIDA AU HASARA? Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI A. Muktadha wa mkataba wa Bandari na DP World Mkataba wa Bandari na DP World ni makubaliano yaliyofikiwa kati ya...
  14. R

    Madavadi awaambia Wakenya wajiandae kwa nyakati ngumu za uchumi, miezi sita haitoshi!

    Waziri Mkuu Musalia Mudavadi anasema kwa sasa nchi haiwezi kutatua hali ngumu ya kiuchumi iliyopo katika kipindi kifupi ambacho serikali ya Kenya Kwanza ilikuwa imepanga wakati inachukua madaraka. Akizungumza Ijumaa wakati wa ufunguzi wa mkutano wa ujasiriamali uliofanyika katika kanisa la ACK...
  15. R

    SoC03 Nguvu iliyofichwa yenye kuweza kuinua uchumi, wako, ari na hali nyingine za kimaisha

    Kila mtu katika ardhi ana uwezo wake wa kutoa msaada. Msaada unatofautiana kulingana na mtu hadi mtu na uwezo wa kutoa msaada huo. Kuna mafanikio makubwa sana yaliyojificha katika kutoa msaada. Unaweza kujiuliza kwa nini walio wengi hutoa msaada? Kwa nini imeandikwa katika maandiko matakatifu...
  16. Miki123

    Kumbe uchumi WA shinyanga ni mkubwa kuliko Dodoma, mbeya, Tanga na Arusha

    Kuna miji huwa haisemwi kiasi unachoweza kudhani IPO nyuma. Moja ya mkoa huo ni Shinyanga. Katika orodha ya uchangiaji WA pato la taifa Kwa kila mkoa Shinyanga inashika nafasi ya tatu(3) Kwa kuchangia 5% ikiwa imezidia na mikoa ya Mwanza yenye mchango WA 9% na Dar yenye 17%. Kinachoshangaza ni...
  17. BARD AI

    Aliyekuwa Mhasibu wa Serikali ashtakiwa kwa makosa 206 ya Uhujumu Uchumi

    Eliud Jones Kijalo aliyekuwa Mhasibu wa Mfuko wa Maendeleo ya Utalii ambaye amefunguliwa mashtaka hayo pamoja na mengine ya Kughushi, Matumizi Mabaya ya Mamlaka, Ufujaji na Ubadhirifu wa Fedha ulioisababishia hasara ya Tsh. Bilioni 4.03. Mahakama imeelezwa kuwa kati ya Julai Mosi, 2016 na Julai...
  18. benzemah

    Serikali inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi ili kukuza uchumi

    Katibu Mkuu Wizara ya UItamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi hatua inayosaidia kuwekeza katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu ambayo ndio msingi wa...
  19. M

    SoC03 Maboresho yenye tija

    Ni muhimu kwa Tanzania kuendelea kufanya marekebisho ya sera na sheria zake za usimamizi wa rasilimali ili kuhakikisha uwazi, uwajibikaji na ufanisi katika matumizi ya rasilimali za umma. Katika usimamizi mzuri wa rasilimali serikali unatakiwa kufanya yafuatayo. Serikali inapaswa kuweka mifumo...
  20. BARD AI

    Nigeria: Mkuu wa Tume ya Kudhibiti Rushwa na Uhujumu Uchumi asimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Rais #BolaTinubu amechukua uamuzi huo dhidi ya Abdulrasheed Bawa ili kuruhusu uchunguzi kuhusu kashfa za matumizi mabaya ya madaraka na ofisi zinazomkabili zifanyiwe kazi na mamlaka zilizoteuliwa. Ingawa ni kawaida kwa #Nigeria kumuondoa kwa muda Kiongozi wa Tume hiyo kila utawala mpya...
Back
Top Bottom