Kwa mujibu wa report hapo chini, Tanzania inatarajia kukusanya T26 mwaka wa fedha 23/24 na zaid ya 40% ya makusanyo yote ya kodi na yasiyo ys kikodi ni kwa ajili ya mishahara, aslimia nyingine kama 40 ni kwa ajili ya kulipa deni la taifa, Sasa tujiulize.
1. Tuna haja ya manunuzi ya magari...