Benki na taasisi za fedha barani Ulaya na Marekani zimeanza kuguswa na mtikisiko wa uchumi ambao unazikumba benki kadha mfano Uingereza na Uswisi nchini Uingereza benki zimeamua kuongeza kiwango cha riba kunusuru soko lao, nchini Ufaransa maanadamno ya kupinga ongezeko la ugumu wa maisha...
Nimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano.
Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, taasisi za umma na mashirika ya serikali wameruhusiwa tena kuweka fedha mabenki badala ya benki kuu kwa hivyo ule uchafu wa serikali...
Haya sio maneno yangu niaelezo ya Benki Kuu ya Tanzania ,BoT..
Kwamba Makisio ya mwaka 2022 yalikuwa ni ukuaji wa Asilimia 4.7% lakini Hadi Desemba mwaka 2022 Ukuaji ulikuwa Asilimia 5% na hivyo Kupita matarajio yaliyowekwa kabla..
Rais Samia na Mwigulu wanazidi kufanya Wonders na kuwaziba...
Leo nchi vinara wa uchumi wa Afrika wanaandamana kudai maisha bora, demokrasia na utawala bora. Inashangaza nchi hizi ambazo zina unafuu ukilinganisha na Tanzania katika masuala ya maendeleo wapo barabarani wanadai mambo bora zaidi.
Maandamano ya amani ni njia mojawapo nzuri sana ya kudai yote...
CRDB kupitia app yao au njia ya code *150*03# hawaonyeshi kiwango cha pesa utakachokatwa mara ukikubali kufanya huo muamala. Huu ni wizi na uhujumu uchumi kwa watumiaji wa CRDB.
Ili upate laki 1 kwenye simu unaweza kushituka wamekula elfu 5 na ukitoa kwa wakala let's say tigopesa wakikukata...
Huyu jamaa ni msomi na mahiri mno wa uchumi ndio mana huwezi kukuta anakosolewa na profesa yeyote wa uchumi maana wanamuogopa sana. Maprofesa wengi waliunga unga lakini Mwingulu straight kutoka Mzumbe na alipiga first class UDSM wakati maprofesa wengi hawana hii. Profesa kama Semboja degree yake...
Mnamo miaka ya mwisho ya uongozi wa awamu ya 4, aliyekuwa Rais wa awamu hiyo Jakaya Kikwete alinukuliwa akisema kwa kuwa tunaingia uchumi wa gesi, yeye ndo angekuwa Rais wa mwisho kuongoza Tanzania iliyo masikini. Kipindi hicho ilikuwa kawaida kusikia maneno "tunaingia uchumi wa gesi".
Tamko...
KABURI LA MAGUFULI KULE CHATO BADO LINATISHA
Agenda ya Upinzani kwa sasa ni Kulishambulia Kaburi la JPM na JPM mwenyewe. Toka wameruhusiwa kufanya mikutano ya Hadhara wameshindwa kuleta hoja zinazohusu wananchi badala yake wanapambana na Marehemu.
JPM hakuwa wa kwanza kuongoza nchi kwa namna...
Utangulizi wa kunukuu maelezo ya Muhanga aliyetusaidia kujua undani wa hizi operations za kampuni ya Silent Ocean Nchini, zikiongozwa na CEO wake, Saalah Mohammed, mdogo wake na GSM.
Hapo nikapokea simu kutoka kwa Salah (C.E.O) au Simba wa Bahari akinitaka ndani ya wiki moja niwe nimetimiza...
Moja ya mambo yatakayotuchelewesha sana kama taifa, ni kutafuta majibu mepesi kwa maswali magumu. Unaanzaje kuingia gharama ya kumlipa kocha mamilioni ya pesa za kigeni huku ukijua fika kwamba aina ya wachezaji unaozalisha ni hafifu na uhafifu huo hauwezi kuondolewa na Kocha wa Timu ya Taifa...
Namshukuru Raisi Samia kwa kutumia akili na maarifa kukuza uchumi wetu bila kuweka mbele hisia binafsi. Hisia binafsi ni pamoja na kuweka ukanda, ukabila na uchama mbele ya Tanzania kwa ujumla wake.
1. Kitendo cha kuelewa katiba ni muhimu kwa uchumi wetu. Hasa kwenye sheria za kibiashara na...
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Takriban 20% ya Watoto na Vijana duniani wana Tatizo la #AfyaYaAkili, ikiwa ni sababu ya Pili kwa kuchangia Vijana wenye miaka 15 hadi 29 kujiua duniani.
Pia, katika kila kundi la Watu 5 waliopo kwenye mazingira yenye Vurugu, mmojawapo anakabiliwa na...
MHE. ZAYTUN SWAI AMUOMBA RAIS SAMIA MASHAMBA YAFUFULIWE ILI KUINUA UCHUMI WA ARUSHA
Mbunge wa Viti Maalum CCM - Arusha na Mjumbe wa Kamati ya Bajeti ya Kudumu ya Bunge Mhe. Zaytun Swai amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufufua Mashamba ya Maua na...
Mikopo inayotolewa kwa sekta binafsi imezidi kuongezeka kutoka 7.8% mwaka 2021 hadi 22.5% mwaka 2022 pia imeongezeka zaidi hadi kufikia january 2023 imefikia 23.1%. Hii inaashiria kuimarika kwa uchumi na utendaji wa sekta binafsi unaochagizwa na sera bora za serikali ya Rais Samia Suluhu...
MHE. JANEJELLY NTATE AIBUKIA JUKWAA LA UCHUMI LA WANAWAKE
Mbunge wa Wafanyakazi Taifa anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Janejelly James Ntate aibukia Jukwaa la Uchumi la Wanawake Mwanamtoti, Kata ya kijichi Dar es Salaam kuwaelezea umuhimu wa kumpongeza Mh. Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa...
Ndugu wana JF napenda kuwasalimu kwa jina la bwana wetu Yesu Kristo.
Napenda kuwatangazia kwamba natafuta mke, tangazo hili nimelileta hapa jukwaani kwa sababu jukwaa hili ni meeting point ya watu wenye rika na jinsia tofauti kutoka katika jamii mbali mbali.
Nimetumia muda wangu mwingi...
Serikali ya Tanzania imefikia makubaliano na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa ajili ya kutoa mkopo wa dola milioni 151 ili kusaidia kuimarisha ukuaji wa Uchumi wake uliopata changamoto za majanga ya kimataifa ambayo yamepunguza ukuaji.
Ikumbwe tayari Tanzania imekopa kiasi kingine cha...
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Maleko amesema uchumi wa mwanamke ukiinuliwa, familia itakuwa na amani na ukatili dhidi ya watoto utapungua na hivyo kuwataka wanawake kutumia fursa ya mikopo inayotolewa kutoka katika mapato ya ndani ya Halmashauri kuanzisha miradi ya...
Mimi ni kijana niliekuja Dar mwaka nusu ulopita. Nilikuja Dar baada ya kutoka nje kimasomo. Pamoja na course niliyosoma, mida ya jioni nilisoma skill nyingine nje ya curriculum kwa personal arrangement.
Niliweza kuimaster vuzuri kwa kuwa pia iliakisi uwezo wangu tangu utotoni. So baada ya...
Wadau mbunge wa Geita ambaye ametunikiwa degree ya heshima na chuo kikuu kisichojulikana amejinadi kuwa kuna vyuo vikuu kama UDSM, SAUT n.k vinamhitaji akawafundishe elimu ya uchumi. Msomi huyo aliyemaliza elimu yake ya darasa la 7 lakini akatunikiwa degree na kuwa daktari, kwa sasa amesema kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.