Hii ni chart ya Shilingi ya Kenya vs Shillingi ya Tz, kama mnavyoona shilingi yetu iliporomoka dhidi ya Shilingi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=Tshs 23 kipindi cha Magufuli,
Samia amefufua uchumi wa nchi na sasa shilingi yetu imepanda dhidi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=18Tshs.
Na ndio kwanza hata...
Nilitegemea mikutano mitatu ya kwanza ya CHADEMA hali ya Uchumi ndio ingekuwa Hoja kuu. Cha ajabu hoja kuu imekuwa Maridhiano ya CCM na CHADEMA ambayo hayawahusu Watanzania wote.
Unapopata fursa ya kuongea na Wananchi zungumzia mambo ya Taifa siyo ya chama chako. Nampongeza Komredi Chongolo kwa...
Wakati sehemu kubwa ya dunia ilipopitia mdororo mkubwa wa uchumi mwaka 2008-2009, China, kupitia juhudi kubwa za matumizi ya serikali, iliweza kukabiliana na dhoruba na kuinua uchumi wa dunia.
Huku ulimwengu ukitetereka "karibu hatari" kwa mdororo wa ulimwengu kwa nyuma ya vita vya Urusi huko...
Sijafahamu lengo la SSH kumpeleka Katwale kuwa mkuu wa wilaya ya Chato.
Huyu ndugu ni mtaratibu, mpole, na aliwahi kufanya kazi NEMC kama mwanasheria, akajijenga kisiasa, akakubalika kweli kweli, ila Jiwe akawa anamtaka Kalemani ambaye alikuwa dhaifu kisiasa.
Ikasukwa zengwe, akapita Kalemani...
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu imejipanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao barani Afrika, Serikali imeanza kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA). Dira ya serikali ni kuifanya Tanzania kuwa kinara katika...
N:B: >> Pwani inayozungumiwa ni mkoa, sio ukanda wa pwani unaojumuisha mikoa ya ziada ya Tanga, Lindi na mtwara.
Kigezo kikuu kwa marais hawa huwa ni utamaduni wao wa ustaarabu, ni utamaduni ambao kwa mikoa ya Pwani na Pemba ni sehemu ya maisha yao kabisa kwa muda mrefu, elimu, dini na...
Pamoja na mikutano ya Siasa kuruhusiwa kwa Busara za Rais Samia ni Muhimu watanzania tukumbuke kuwa nchi Yetu inaitaji nguvu kazi kujenga uchumi imara nimeshuhudia Leo watu wasio na nauli wakitembea toka Asubuhi kutoka sehemu mbali mbali za jiji la Mwanza kwenda furahisha. Ushauli wangu...
Sababu za punguzo hilo ni Mdororo wa Uchumi na Ukuaji Mdogo wa Uchumi wa Dunia usioendana na Mapato ya Kampuni hiyo kwa kipindi cha miaka miwili mfululizo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa Umma, Mkurugenzi Mtendaji wa Google na #Alphabet, #SundarPichai, tayari amewatumia Barua Pepe...
Rais Samia Suluhu amehimiza sekta binafsi kuwekeza Afrika katika uzalishaji wa nishati jadidifu ili kuhakikisha upatikanaji wa uhakika wa nishati hiyo. Ametoa wito huo akichangia mada katika mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani unaofanyika Davos, nchini Uswisi.
Ni swali tu ndugu zangu ambalo limekuwa likininitatanisha sana na leo nimeona nishiriki nanyi kulijadili.
Nimeona Tundu Lissu akiomba watu wakahudhurie mkutano wa hadhara uliotishwa na chama chake, ni jambo jema kama kiongozi wa kisiasa.
Pia, nimeona watu wakihimizana wakampokee Lissu akitua...
Mhe. Rais Dkt.Samia Suluhu ni moja ya viongozi 50 duniani walioalikwa kuhudhuria kongamano la Uchumi duniani linalofanyika nchini Uswisi lakini viongozi kutoka bara la Afrika waliolikwa ni wawili ambao ni yeye na Rais Ramaphosa.
Pamoja na mambo mengine, kongamano la mwaka huu lililoanza Januari...
Kujikagua na kujipima ni jambo la muhimu sana , hebu tafakari miaka mitano yako nyuma na sasa, huko ulimiliki nini na sasa unamilki nini , shughuli zako za kiuchumi je zimetanuka na atleast zinatosheleza mahitaji yako au bado mechi Ngumu sana upande wako ukichukua...
Kwenye piki piki, honda na yamaha na suzuki wametolewa sokoni huku Afrika.
Mabasi na malori mchina kashika soko, Yutong tatu sawa na scania moja, Kwenye malori ni hivyo hivyo.
Sasa siku akiamua kutengeneza gari ndogo za kutembelea, mjapani atapata shida
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Iramba mkoani Singida, Augustino Matomola na wenzake sita wamefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wakituhumiwa kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya ofisi.
Watuhumiwa hao...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewafikisha Mahakamani Mkuu wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Ruben Mfune na Katibu Tawala Msaidizi wa Fedha mkoani Kilimanjaro, Juma Masatu kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh51 milioni.
Wawili hao walidaiwa...
Kiukweli Tafadhali sheria naomba itungwe wale watu wote ambao wanatumia simu hizo hapo juu wawe wahujumu uchumi maana tumechoka sana kuziona hizo simu zikiua watu na kulipuka hovyo hovyo.
Jana tu kuna Jobless mmoja ambaye ni kabila moja kutoka Kanda ya ziwa amelipukiwa na simu moja hapo juu...
1. Uchumi wa Tanzania umeendelea kuzorota siku hadi siku. Na sasa maisha ya wananchi wengi yako taabani.
2. Ni nini serikali imekosea hadi hali ya uchumi wetu kuwa taabani kuliko wakati wowote tokea uhuru.
3. Wakati wa mwalimu Nyerere vitu vilikosekana laki bei haikupanda siyo kwa bidhaa hata...
Wanasiasa kama Lissu naelewa siyo wafanyabiashara, hawana maono yakumiliki Mali, siyo wezi na wameumbwa kupambana wakati wote na matajiri.
Lakini pamoja na ukweli kwamba siyo watu wa kujilimbikizia Mali upo umuhimu wa kufahamu anamiliki nini hapa nchini? Anamiliki kampuni gani? Ana ukwasi kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.