Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Takwimu ya China zinaonesha kuwa, mwaka 2024 pato la Taifa la China lilikua kwa asilimia 5, na kufikia yuan trilioni 134.9, sawa na dola trilioni 18.94 za Marekani.
Katika mwaka uliopita, licha ya changamoto za nje na ndani, China ilifanikiwa...