Inaniuma sana kuona mimi raia wa kawaida kabisa nisiye na taaluma yoyote ya mambo ya ujenzi ninaweza kufikiri hatari ya kujenga pale jangwani kwani inajulikana kabisa kuwa ule ni mkondo wa maji iweje watu waliosomeshwa na kuishi kwa kodi zetu wakaaminiwa kama wataalamu na viongozi wetu wakajenga...
Katika mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing mwezi Septemba mwaka huu, China ilitangaza mpango wa kufungua zaidi soko lake na kuzipa msamaha wa ushuru wa forodha bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi zilizo nyuma kimaendeleo, zikiwemo nchi 33 za...
Wanaume au vijana wote wanaokataa ndoa halafu wanazalisha mabinti wa watu nafikiri wachukuliwe kama zaidi ya wahujumu uchumi, hawa ni aina fulani ya waharibifu wanaotakiwa kulaaniwa, kupingwa na kukataliwa na jamii kwa ujumla.
Nchi ya Tanzania imeendelea kutajwa kuwa imara na kukua kiuchumi, hiyo ni baada ya kuingia kwenye orodha ya nchi 10 bora za Afrika kwa Pato la Taifa (GDP) kwa Mwaka 2024, kwa mujibu wa IMF.
Ikiwa na GDP ya Dola Bilioni 79.87, maendeleo ya uchumi wa Tanzania yanaonyesha athari chanya za sera...
Kuna ujumbe wa picha ya Raisi Samia na chini kukiwa na hayo maneno unasambaa kwenye ma-group ya WhatsApp ukionyesha kuwa Raisi Samia ametoa hiyo kauli.
Je, ni kweli Raisi Samia katoa hiyo kauli?
Kama ni kweli, kauli hiyo kaitoa lini na wapi?
Kama ni kweli, mimi naona itakuwa poa tu ili siku...
Wakuu Salaam,
Naomba kuuliza kuhusu Taifa la Israel, hiv hawa jamaa pesa za kuendesha vita vyote hivyo wanapata wapi? Hamas, Hizbolah, Houthi, Iran ,makundi mengine Syria, Iraq kama tu vita ya 78 dhidi ya Nduli tuliyumba mpk leo. Wao wanaendesha vipi nchi?
Sioni wako na resources za maana kama...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi nyingine duniani katika kukuza uchumi wa kidijitali kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa katika sekta ya TEHAMA.
Waziri Silaa aliyasema hayo wakati akifungua kikao...
Amini kuna miujiza hapa Duniani, kanchi kadogo kapo vitani lakini kanakimbiza nafasi ya pili huko Middle east
N:B: Ule msaada wa dola bilioni 3 wanaopewa na Marekani kila mwaka haufikii asilimia 1 %
https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_Middle_Eastern_countries_by_GDP
- Awapongeza Rais Samia na Museveni kwa msimamo wa uongezaji thamani madini
- Azitaka nchi za Afrika kuwa na mkakati wa pamoja wa uvunaji wa rasilimali Madini
- Uganda yavutiwa na maendeleo ya sekta ya madini nchini Tanzania
📍Kampala, Uganda
Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amezitaka...
Weka hapa Softcopy yeyote iwe Kitabu, Makala au Jarida lolote, Lakini lengo kuu la hiyo Document liwe ni kuleta maarifa katika eneo fulani .
Yaweza kua Kiuchumi, Mabadiliko binafsi, Kiroho hata Historia yenye kufunza .
Karibuni!!!
Kwa msiojua, wazungu wameshaanza kutoa dozi, wanaminya mpunga, na hazina kumeshaanza kuchoka. Maofisi ya serikali yameanza kupokea pesa kiduchu kwasababu hakuna pesa, kipindi cha jiwe alileta jeuri wazungu wakabana pua yake, tukaishi maisha magumu na ya kujitesa sana.
kwa mwenye akili...
💼 MHADHARA WA 11:
Hakikisha uzito wa VICOBA/au MICHEZO YA KUPEANA HELA unayocheza usizidi Mzani wa MFUKO (UCHUMI) wako. Kwa mfano upo kwenye uanachama wa VIKUNDI VYA MICHEZO YA KUPEANA HELA au VICOBA zaidi ya kimoja, halafu kila ifikapo muda wa marejesho ya madeni uliyokopa au muda wa kuweka...
Muhasibu wa Chanzo cha Mabango anasema wametakiwa kukusanya mapato ya shilingi bilioni 3 kwa mwaka mzima kupitia chanzo hicho.
Aidha anaelezea gharama ya kubandika matangazo kwenye gari. Inafikia mpaka sh10,000 Kwa squer feet 1.
Nakumbuka makampuni mengi sana yalikuwa na utaratibu wa kuweka...
Mkulima wa Tanzania ni mtu asie thaminiwa kabisa hata kidogo. Hii imefanya kuonekana kilimo hakika tija. Hata umshauri kijana akitoka SUA ajikite kwenye kilimo Bado hata kuelewa.
Hapa kitaa kuna jamaa yetu baada ya kutoka SUA Moja kwa Moja, alianza kujifunza kunyoa na baada ya kujua Leo hii ana...
Nguvu ya utamaduni. Huwaleta watu pamoja, huwafanya kuwa pamoja, huwaunganisha na Kuwapa nguvu yenye mshikamano imara sana!
Je tuna utamaduni wa mwafrika? Ni upi? Je tuna utamaduni wa Mtanzania? Ni upi?
Maana utamaduni ni uchumi, Utamaduni ni sera. Utamaduni ni siasa, Utamaduni ni imani...
Kama unaona ndoa yako maisha yako kiuchumii yanasuasuaa
Angalia na fukuza hawa
Panda
Mende
Mijusiiii
Mapaka
Kwa gharama zozote waondoke hapo kwako else utapigika mbaya yaana wanavyoendelea kuzaliana ndipo na wewe wwanakunyoshaaa kirohoo na kimwili mpaka unyokekekee
@fanyiakazi
C2
Tumeellewana
Wanabodi,
Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la leo
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na maswali yakifuatiwa na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe.
Hoja ya leo ni je kuna uwezekano sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.