Malalamiko ya hali mbaya za kiuchumi na kutoka kwa wafanyabiashara yamekuwa sugu. Njia zote kuleta nafuu zimeshindikana.Sababu ya hali hiyo ni kwa vile njia za uchumi zinazofuatwa si halali.
Tumezoea kurithi kila tunacholetewa kutoka kwa watu wa Ulaya waliowahi kuwa wakoloni wetu.Na kwa vile...
Wakuu habari
Kwa wale mnaofanya biashara zenu wenyewe ambao hamtegemei mshahara kutoka kwenye ajira za Serikali au private company..
Haya naomba mtuambie hapa, wewe na hiyo biashara yako unajilipa mshahara bei gani Kwa mwezi? Na unafanya biashara gani?
Tuambie Gross salary na net net salary...
Kitabu cha kiyahudi Tanakh au Miqra kinatoa siri kubwa kwa familia zao kuhusu Uchumi. Baba huwa anapoingia kutafuta huwa anatafuta kwa sio tu kwa ajili yake bali kwa ajili ya wajukuu na vitukuu. Anaandaa mifumo kuhakikisha anaacha utajiri mkubwa kwa ajili ya watoto na wajukuu.
Mithali 13:22...
Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii.
Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa...
Wafanyabiashara wanaandamana kwa kufunga maduka nchi nzima.
Kodi hazieleweki.
Madeni ya nchi yanazidi kupanda.
Viongozi matumizi yako juu sana, ma VX hadi kwa watoto wao.
Nyie wanyaturu vipi lakini?
Nchi ya Tanzania imebarikiwa vivutio vya asili ikiwemo mbuga, mito na kadhalika. sekta ya mifugo ni mojawapo ya sekta ambazo huwa zinachangia kwa kiwango kikubwa sana katika maendeleo ya uchumi wa Tanzania. kwa mujibu wa shirika la kimataifa la kilimo na chakula duniani(FAO) Tanzania ni ya tatu...
Tanzania tumekuwa tukipata wakati mgumu namna ya kuimarisha uchumi wa taifa ambo ndio dira ya Taifa kwa jamii nzima Katika kukua kwa uchumi na kuachana na umasikini;
Naitwa Raphael Edson mkazi wa mafinga iringa
Tanzania tumekuwa tukifanya maendeleo ya macho na si mwendo kwa muda mrefu kwasababu...
Kariakoo haihamisishi ukuaji wa viwanda vya ndani, Kariakoo ni Dumping site ambako asilimia 100 ya products zinazo uzwa pale ni Made in nje.
Ni wajinga pekee ndio wanaoweza kuamini kwamba soko lenye asilimia 100 ya bidhaa za nje ya nchi lina umuhimu sana kwa uchumi wa nchi kuliko, Kilimo...
Njia za Kutekeleza Sera ya Uchumi Endelevu kwa Mwananchi Mmoja Mmoja kama Nguzo ya Taifa Bora kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo Tanzania
Uchumi endelevu ni dhana inayolenga kuleta maendeleo ya kiuchumi ambayo yanakidhi mahitaji ya sasa bila kuathiri uwezo wa vizazi vijavyo kukidhi mahitaji yao. Katika...
Mimi mtazamo wangu, Tanzania tuitakayo kuweza kuifikia:
1. Kufanya Kazi Kwa bidii shambani na viwandani.
2. Kuwatafutia wakulima masoko ya nje ILI kuweza kuuza bidhaa zao.
3. Kusimamia vzr mapato ya serikali
4. Kukomesha rushwa kila kwenye mianya rushwa.
5. Kila mmoja awe mbunifu kutafuta njia...
Mwenye uelewa wa neno "uchumi wa buluu".
Nimekuwa nikisikiliza wenzetu,wa visiwani wakisema hili neno.
Mwenye uelewa wake kwa kina,na ushiriki WA Hilo neno wa watanganyika
Munakasha wa kipi kianze kati ya vitu hivyo viwili umekua ni endelevu na wa muda mrefu na mgumu. Aina zote mbili za uhuru ni misingi ya jamii za kidemokrasia na maendeleo binafsi na taifa kwa pamoja. Ila linapokuja swali la uhuru upi upewe kipaumbele, jibu linakua gumu na si la moja kwa moja...
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo amesema kuwa Benki hiyo imeshuhudia ongezeko kubwa la mapato ya jumla ya Shilingi Bilioni 19.27 sawa na asilimia 11.19 hadi kufika Bilioni 19. 21, kwa mwaka 2023. ikilinganishwa na mwaka 2022 ambapo mapato yalikuwa Bilioni...
TANZANIA TUITAKAYO: KUWEKEZA KATIKA TEKNOLOJIA YA HALI YA JUU KWA MUSTAKABALI WA TAIFA
Utangulizi
Katika ulimwengu wa sasa, teknolojia ya hali ya juu imekuwa msingi wa maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Teknolojia kama vile mtandao wa 5G, viwanda vya kisasa (smart factories), na mifumo ya kisasa...
Picha kutoka shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania.
Mungu hajakosea kumfanya kila mmoja wetu jinsi alivyo,japo kati yetu kuna walemavu ambao huwa na matatizo au upungufu wa kimwili ,kiakili au kihisia ambao huwafanya kushindwa kufanya baadhi ya shughuli kwa njia ya kawaida...
Makala haya yanaangazia suluhisho la kina na mikakati ya kukabiliana na mfumuko wa bei, kukuza uchumi thabiti na unaostawi katika kipindi cha miaka 5, 10, 15, na 25 ijayo.
Suluhu za Muda Mfupi (Miaka 5 Ijayo)
1. Kuimarisha Sera ya Fedha-(Kibenki)
Benki Kuu ya Tanzania inapaswa kupitisha sera...
Kuendeleza uchumi wa bluu wa Tanzania kwa miaka 25 ijayo, inaweza kufanyika kupitia miradi mbalimbali:
1:Uvuvi Endelevu: Kuanzisha na kutekeleza sera za uvuvi zinazolenga uhifadhi na matumizi endelevu ya rasilimali za bahari.
2:Utalii wa Baharini: Kuendeleza vivutio vya utalii kama vile mbuga...
Nchini Tanzania, Sekta ya Kilimo ni muhimili wa maendeleo ya uchumi. Sekta hii inachangia kiasi cha nusu ya pato la Taifa, robo tatu ya bidhaa zinazouzwa nje ya nchi na chanzo cha chakula pamoja na utoaji wa fursa za ajira zaidi ya 75% ya Watanzania. Hali hii inatupa uhalisia na yakini kwamba...
Wanasiasa wetu hata Gavana wa sasa wa Benki Kuu wanasema kuwa maisha Kwa binadamu hayajawahi kuwa rahisi na mepesi.
Lakini wao Kila siku wanataka kubakia madarakani kwa hoja kuwa wapo madarakani kuyafanya maisha ya watanzania yawe rahisi na Bora zaidi ya sasa.
Lakini maisha ya watu hayawezi...
Mabadiliko ni Muhimu sana. Tufanye wenyewe kama mtu na mtu au serikali kwetu au taasisisi cha umuhimu ni mabadiliko.
Tunashindana kupata stories bora ambazo zitaleta maendeleo chanya. Natamani kuona mawazo ya Wa Tanzania wenzangu ya kiuchumi na tuangalie namna gani kwa pamoja tunaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.