uchumi

  1. M

    SoC04 Tanzania kuwa kitovu cha biashara Afrika ndani ya miaka 25 kwa lengo la kukuza uchumi

    TANZANIA KUA KITOVU CHA BIASHARA AFRIKA NDANI YA MIAKA 25 KWA LENGO LA KUKUZA UCHUMI. UTANGULIZI Tanzania ni nchi ambayo imepakana na Bahari ya Hindi upande wa mashariki mwa Afrika na kuzungukwa na Nchi nyingine nyingi upande wa Kaskazini, Magharibi na Kusini ambazo kwa miaka mingi zimekua...
  2. T

    Tetesi: Watumishi wa Umma kupandishwa madaraja karibuni

    Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka. Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021. Kongole Mama yetu, tunakupenda sana, yaani mitano tena.
  3. B

    Benki ya CRDB yahamasisha mageuzi ya uchumi Afrika katika Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB)

    Nairobi, Mei 28, 2024 – Katika jitihada za kuboresha maisha na kukuza uchumi wa masoko inayoyahudumia, Benki ya CRDB imeendesha mjadala uliolenga kujadili ukuzaji wa huduma za benki zinazovuka mipaka ya nchi za Afrika ili kuchochea mageuzi ya uchumi barani Afrika. Mjadala huo rasmi umefanyika...
  4. E

    SoC04 Kukuza sekta ya uchumi kiteknolojia zaidi

    Hapa kuna maelezo kuhusu mbinu nne za kisayansi za kukuza sekta ya uvuvi pamoja na mifano ya kila moja: 1. Utafiti wa Mabadiliko ya Mazingira ya Bahari: Utafiti wa kisayansi unaweza kusaidia kuelewa jinsi mabadiliko ya mazingira ya bahari yanavyoathiri maisha ya samaki na mifumo ya ekolojia...
  5. B

    SoC04 Tubadilishe fikra zetu, na tuzalishe wataalamu wenye kuweza kupambana kimataifa kupitia bunifu zao za Kiteknolojia kwa ajili ya kukuza Uchumi wetu

    ''Fikira au Fikra (kutoka neno la Kiarabu) ni ujumbe uliotumwa kutoka akilini kwa ajili ya viumbe hai ili kujua kutenda jambo bila kukosea. Fikra husaidia na maamuzi: wanyama(mfano mifugo n.k) mara nyingi huishi bila ya kufikiri, yaani kujua nini kesho atafanya, lakini wanadamu hutumia fikra na...
  6. Dungeon

    KERO Mfumo wa BRELA ni mbovu, Mnachochea uhujumu uchumi

    Mfanyabiashara umejipapatua unataka kujisajili ulipe kodi aisee ukienda kwa hao majipu wanajiita BRELA yani ni aibu. Mfumo dhaifu, user experience mbaya na tunalipa pesa zetu yaani kama ningekuwa na mamlaka timu nzima ya TEHAMA Brela ningeifutilia mbali. Makodi yenyewe yapo juu kwa uzalendo...
  7. X

    SoC04 Serikali ilegeze kamba maeneo yafuatayo kuchochea kasi ya ukuaji uchumi nchini na kupunguza ugumu wa maisha kwa wananchi

    UTANGULIZI Toka Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) kupata uhuru bado matatizo makuu ya nchi ni yale yale Ujinga, maradhi na umaskini, bado hakujawa na mikakati toshelevu yenye kuchochea mabadiliko chanya ya kasi kukabiliana na matatizo hayo na kulipeleka taifa mbele kiuchumi kwa kasi kama Mataifa...
  8. ErastoMashauri

    SoC04 Ili kuinua uchumi wa Mtanzania mmoja mmoja

    Utangulizi: Ukifuatilia kwa umakini zaidi kuhusu Maendeleo ya Nchi nyingi zilizoendelea hapa Africa, America na hata Ulaya, Utagundua kabisa kuwa mambo mengi au vitu vingi ukiacha miundo mbinu iliyofanywa na serikali!, Vingi pia vya kuvutiaKama Hoteli kubwa, Shule, Viwanda Nk. vimefanywa na...
  9. F

    SoC04 Mchango wa Uhuru wa Habari katika Maendeleo ya Uchumi wa Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Mwanzo wa kunukuu, UHURU WA VYOMBO VYA HABARI UNATOKANA NA UTASHI WA KISIASA - WAZIRI NAPE 03rd May, 2024 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amesema uhuru wa vyombo vya habari unaoshuhudiwa sasa unatokana na utashi wa Kisiasa wa Rais wa Jamhuri...
  10. F

    SoC04 Mchango wa Rais Samia katika Kuendeleza Utalii kupitia Filamu kwa Maendeleo ya Uchumi wa Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akiongoza Tanzania katika wakati wa mabadiliko makubwa, akilenga kuleta maendeleo na ustawi kwa nchi yake. Mojawapo ya mikakati ambayo Rais Samia ameifanya ni kutumia tasnia ya filamu kuendeleza utalii na kusaidia ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Katika miaka 25...
  11. MDAU TZ

    SoC04 Muda uwe ni dira kuu katika ujenzi wa uchumi wa taifa

    MUDA ni sehemu muhimu sana katika mpangilio wa mambo mengi duniani, na hii ni tangu kwa kuumbwa kwake, kutokana na maandiko ya vitabu vya dini, vimeandikwa kwamba hata Mungu aliutumia muda katika kuumba ulimwengu, na kuongeza kuwa Dunia iliumbwa kwa siku sita na ya saba ikawa ni mapumziko yake...
  12. De Rama Msirikale

    SoC04 Matumizi sahihi ya ukuaji wa teknolojia na mawasiliano ili kukuza pato la uchumi kwa wananchi miaka 5 hadi 10 ijayo

    Matumizi Sahihi ya Ukuaji wa Teknolojia Duniani: Njia ya Kuinua Uchumi wa Mtanzania kwa Miaka 5 hadi 10 Ijayo Katika ulimwengu wa leo unaobadilika kwa kasi kutokana na maendeleo ya teknolojia, Tanzania ipo katika nafasi ya kipekee ya kutumia ukuaji huu kuboresha uchumi wake. Hapa chini ni...
  13. D

    SoC04 Uchumi Endelevu kwa Tanzania yetu

    Utangulizi, Uchumi ni neno lenye maana pana sanaa, ila kwa kifupu uchumi ni jinsi tunavyoweza kutumia rasilimali tulizo nazo kutimiza mahitaji yetu ya kila siku kama mtu mmoja, familia , ukoo, jamii mpaka taifa na kimataifa. Uchumi endelevu ni jinsi ya kutumia rasilimali tulizonazo...
  14. R

    Ushauri: Waziri Mwigulu Nchemba ni liability kwa Uchumi wetu!

    Salaam,Shalom!! Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali. Ukisikiliza Kwa ufahamu kauli hiyo, analenga kuwaelekeza TRA warudi tena Kwa wafanyabiashara na kuwabana...
  15. Roving Journalist

    Dkt. Nchemba aongoza Baraza la Mawaziri wa Fedha na Uchumi Afrika Mashariki

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) ameongoza Mkutano wa 16 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Fedha na Uchumi (SCFEA) na mkutano wa Mashauriano ya Kibajeti wa Mawaziri wa Fedha na Uchumi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa niaba ya Waziri wa Fedha na Mipango wa Sudani...
  16. Wakusolve

    SoC04 Mustakabali wa Teknolojia na suluhisho la ukosefu wa ajira na kukuza uchumi wa Tanzania

    Teknolojia nini? Teknolojia ni hatua ya mabadiliko kutoka katika matumizi magumu ya kazi kuja katika njia rahisi ya utendaji kazi kwa urahisi na haraka. Au Teknolojia ni sayansi ya hali ya juu ya ubunifu wa vitu na kubadilisha vitu vilivyokuwa na mifumo wa njia nyingi za uchakataji wa jambo...
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

    Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga. Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono . Mdoli waneupaka rangi ya Tanzania, mdoli hautembei, haujui Kiswahili wala lugha yoyote. Waliohusika kuununua washikwe wafunguliwe...
  18. PLATO_

    Kwanini Shilingi inazidi kupoteza thamani yake dhidi ya Dola?

    Kipindi nipo chuo miaka miwili iliyopita nilikuwa naona USD inacheza kwenye Tsh2300 hivi lakini hivi sasa Dollar imepanda sana. Hii inamaana gani kwenye uchumi wetu? Kwanini Shilingi inadhidi kupoteza Thamani yake dhidi ya Dollar? Labda tuseme uchumi unakuwa kwa maana hiyo hata Garama za...
  19. Jengoz

    SoC04 Uwezeshwaji wa wananchi kumiliki uchumi

    Kwa majina naitwa Majengo Saidi Swadi. Nianze kwa kuangazia namna ambavyo maisha halisi ya wananchi yanavyotofautiana na takwimu za kukua kwa uchumi wa nchi. • Kwa kawaida tunasema kipimo cha uchumi mifukoni ni namna ambavyo watu wanaweza kumudu maisha yao ya kila siku kutokana na kipato chao...
  20. S

    Wakati uchumi wa Tanzania ukitegemea zaidi Kilimo ulipita wa Kenya na Ethiopia

    Ni muda wa kurudia misingi ya zamani. Ardhi kubwa yenye rutuba ipo.
Back
Top Bottom