uchungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prof Jay: Rais Samia alikuwa kama Mama yangu, alipata uchungu wa Mama

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule maarufu Prof Jay amesema Rais Samia alikuwa kama Mama yake wakati akimshukuru kwa jitihada zake za kumtibia.
  2. M

    Dkt.Rugemeleza Nshala kaipata hii nafasi ya mwanasheria wa CHADEMA?

    Dkt.Rugemeleza Nshala ana uchungu na CHADEMA? Maana tangu kufatilia siasa za upinzani huyu sijawahi kumuona kuvaa gwanda. Leo ndio mwanasheria mkuu wa CHADEMA. Au urafiki wa Lissu ndio kumemfanya kupata nafasi hii?
  3. Oya mbona hii Taarifa ya Max Zengeli anaondoka kuelekea Morocco inafichwa sana kwa Sisi wana Yanga SC wenye Uchungu?

    Kwahiyo wana Yanga SC tumeamua kutumia 'Inshu' ya Chasambi ili Kuificha kwakujua kuwa Sisi Mashabiki ni hohe hahe?
  4. R

    Watu wanakula rushwa na kuuza mali za umma tupo kimya, Gozibeth kuchoma gari lililochakaa mnajidai wazalendo na mna uchungu; Unafiki

    Wale watuhumiwa wa ufisadi na wizi wa mali za umma wengi wapo mitandaoni wanamshauri Mwanamziki Gozibeth asingechoma moto gari bali angewapa wahitaji au kulirejesha. Kuna baadhi ya wanafiki wamekwenda kutafuta na kifungo cha maisha kwenye sheria kama adhabu wanayotamani apewe. Baadhi...
  5. Wanaopinga " New World Order" ni vichaa

    Wanapinga kitu wasicho kijua. Nimefanya utafiti WA Kina kuhusu New World Order . Nimesoma vitabu ishirini kuhusu " New World Order" . Ninasema hivi dunia hii Ina ihitaji New World Order Kuliko unavyo weza kufikiria. Mngejua New World Order mngetamani ianze hata kesho. Mnadanganywa sijui...
  6. Kujengea kwenye simu: Inatia uchungu sana

    https://www.youtube.com/watch?v=lLChdeK88RY
  7. Kijana ukioa tegemea uchungu huu ndani ya ndoa yako na huyo mkeo hakika na waambieni

    Ndugu zangu salaam Wazee watawaambia huo ndiyo uanaume, wanaume tumeumbwa mateso mwanamke hawezi kukushinda ila kaa ukijua unachezea moto utakaokuangamiza muda siyo mrefu, acha umwamba na kusikiliza maneno ya wazee jipende kijana, hao wazee ndoa zao hazikua kama hizi za kwetu. Wenyewe kila...
  8. Mama mzazi wa Martha Mwaipaja alia kwa uchungu, akithibitisha kuwa mwanae huyo hamsaidii kutokana na mzozo na mdogo wake Beatrice

    Mama mzazi wa Martha Mwaipaja amezungumza na kuthibitisha kuwa yale yaliyosemwa na mdogo wake, Beatrice Mwaipaja kuwa muimbaji huyo wa 'Hatufanani' hamsaidii. Akizungumza kwa uchungu kwenye mahojiano na Wemu Online TV, Mama huyo amesema alizaa watoto watatu wakiwemo Martha na Beatrice...
  9. Aliye na Video ya Mdude CHADEMA akilia kwa uchungu baada ya kuachiwa kwa Dhamana naiomba.

    Naskia ameteseka Sana aisee. Sasa Kama mwanaume mpaka Analia kwanini asiachane na hizi harakati. Inasikitisha Sana.
  10. T

    Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi

    Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi Baada ya kusikia hizi stori kwa muda, nikaamua kuingia mitaani kufuatilia kinachoendelea hasa maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa (vijijini hasa pembezoni mwa miji na visiwani). Mtaani kuna stori kuwa kuna madhara...
  11. Mayahudi waambiwe ukweli tu,Kama wana uchungu wa mababu zao kuuliwa na Hitler, basi kama ni sahihi hasira zao wakazitolee kwa wajerumani.

    Wapalestina wote hawakuhusika na chochote katika madhila ya mayahudi kule Ujerumani, Watoto na wagonjwa wanaouliwa kwa makombora kila siku kwa kweli hawakuwepo muda huo na hata hao askari wa IDF nao pia wengi wao wanasoma historia tu sawa na wenzao wa Palestina. Sasa chuki za kijinga na...
  12. Mwemba Burton (Mwijaku) alia kwa uchungu Dkt. Nawanda kubambikiwa kesi ya ulawiti, adai wazazi ndio wanaoumia

    Wakuu. Mwijaku amwaga Chozi :KEKLEO: Mtangazaji wa Crown Media, Mwemba Burton maarufu Mwijaku ameonyeshwa kuumizwa na kudai amekumbushwa mbali baada ya kuona Wazazi wa Dkt. Nawanda wakilia kwa uchungu, huku akishauri watu waache kubambikiana kesi ambacho zinakuja kuwaumia wengine wasiokuwa na...
  13. G

    Biden kainyima Israel silaha wakubali ku "pause" vita, zimebaki siku 60 Trump kipenzi cha Israel kuapishwa, Vikundi vya Iran vitapata taabu sana

    Kinachoendelea white house Biden kabakiza siku 60, anafanya kila namna kumsagia kunguni Trump na kulazimisha apewe sifa kwa mabavu. Kairuhusu Ukraine itumie makombora ya masafa marefu kwa lengo la kuchochea vita, Trump aingie madarakani vita ikiwa ngumu sana kuisuluhisha, Mpango huu kwa kiasi...
  14. Q

    Naandika haya kwa uchungu sana

    Habari wakuu hope ni wazima wa afya, pasi na kupoteza muda ni ende kwenye mada. Ewe kijana wa kiume kama unataka kuishi maisha ya furaha, Raha, amani, na maisha marefu Kaa mbali na viumbe wanaoitwa Wanawake. Kama unataka mafanikio ewe mwanaume kataa ndoa, Wanawake ni matapel, wanawake hawafai...
  15. Wanajeshi wa Israel wanabeba maiti zao huku wanalia kwa uchungu

    Wanaukumbi. Wanajeshi wa Israel wanabeba maiti zao kwa kuvizia huku wakilia kwa uchungu baada ya kupigwa na Hezbollah kwenye mipaka ya Lebanon. Cha kushangaza wao wanauwa watoto na wanawake Gaza na kushangilia kumbe na wao wanasikia uchungu wa vifo. Wanachopata kutoka kwa Hezbollah ni haki...
  16. Mimi nikiwa Mtanzania tena mzazi mwenye uchungu na matukio ya utekaji, hii inanifanya niichukie nchi yangu. Njii ipi nzuri ya kutatua ili tatizo?

    🚨🚨 ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu. Kiukweli kunahaja wananchi...
  17. S

    Sura ya 4 ya andiko la Mpina nimelia kwa uchungu nchi inavyochezewa

    TAARIFA RASMI YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA KWA VYOMBO VYA HABARI YA TAREHE 29 JULAI 2024 SURA YA NNE MADHARA YA UTOAJI VIBALI KIHOLELA, KUSAMEHE KODI NA MABADILIKO YA SHERIA YA SEKTA YA SUKARI 1.0 Uamuzi wa kutoa...
  18. Niiteni Mara (uchungu)

    Mimi nilizaliwa miaka ya 90, ni mtoto wa 3 kwenye familia ya watoto 5. Katika hatua za ukuaji, nilionyesha tabia za tofauti na wenzangu. Mama alisema nilikuwa sieleweki kama nna furaha au nimekasirika. Wala sikuonyesha kufurahia vitu kama toys au kucheza na watoto wengine. Lakini nikaendelea...
  19. Hai, Kilimanjaro: Mama na watoto wake walia kwa uchungu baada ya nyumba yake kubomolewa na serikali

    Eneo ni Sanya chini, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro baada ya serikali kuagiza nyumba hizo kubomolewa. Malisa
  20. Tujifunze kuambizana. Hata kama kwa uchungu

    Zamani, miaka ya 1983 nikiwa nafanya kazi Mutex, Musoma. Tullikuwa na ofisa mmoja wa ngazi za juu. Inasemekana alikuwa ni mmoja wa wasomi wachache wa taaluma ya viwanda vya nguo enzi hizo. Tatizo lake lilikuwa moja. Saa zote alikuwa amelewa. Enzi zile ilikuwa sio rahisi kufukuzwa kazi. Jamaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…