uchungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Rais Samia onesha pia Uchungu wako katika Sekta ya Ardhi kwani Wanyonge wanadhulumiwa mno

    Mheshimiwa Rais kama kuna Sekta ambayo kwa sasa inatajwa na Dhambi ya Kudhulumu Watanzania Wanyonge basi ni ya Ardhi. Na kama kuna Mkoa ambao unaongoza kwa Watanzania Wanyonge Kudhulumiwa Ardhi yao ni Mkoa wa Dar es Salaam. Na kama kuna Mkuu wa Mkoa ambaye anapewa Lawana ya Kutetea Wapora...
  2. Kamanda Asiyechoka

    Tundu Lissu una uchungu na Taifa lako. Unaumia linavyoibiwa ila Mbowe ameungana na wanaoliibia

    Chama chetu hakina mwenyekiti bali kina mpigaji tu. Lissu unaongea kwa uchungu sana. Nimesikia ukizungumzia wizi wa wanyama pori huko Loliondo. Wizi wa pesa za umma ambazo ni kodi ya wananchi. Tatizo Chadema ni mganga njaa Mbowe
  3. Black Legend

    Nani ana uchungu na elimu yetu?

    Kupitia wizara zake za Wizara ya Elimu na TAMISEMI.....Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania imeonesha nia na juhudi kubwa za kuwekeza katika ujenzi wa madarasa mapya na pia kuongeza shule mpya ikiwa ni pamoja na ukarabati wa majengo kwa shule kongwe zenye uchakavu. Ongezeko la miundo...
  4. OCC Doctors

    Uchungu wa uongo hii ndio tofauti ya leba ya uongo na leba ya kweli

    Maumivu ya uongo, uchungu wa Leba ya uongo (false labor, spurious labor). Leba ya uwongo inapatikana zaidi kwenye mimba ya kwanza kuliko kwa wanawake walio wahi kuzaa awali. Kawaida huonekana kabla ya kuanza kwa uchungu wa kweli wa leba, kwa wiki 1 au 2 kwa mimba ya kwanza na kwa siku chache kwa...
  5. winnerian

    Akauliza kwani hauna uchungu na nchi yako kupoteza pesa nyingi hivi?

    Jibu: kwani wao hawaibi? Viongozi wetu wakiwa na uchungu sana na hii nchi hata walio chini hawataiba watakuwa wazelendo. Kutwa kiongozi mkubwa ananazunguka kulinda pesa za nchi hii ataweza peke yake bila mfumo imara unawajibisha kila mtu kutii sheria?
  6. P

    Ikiwa wenye PhD feki wana manufaa na uchungu kwa nchi yetu, basi tunawataka waongoze nchi yetu

    Wahasimu wa Hayati JPM wanaendelea kutuaminisha kuwa, JPM hakuwa Mtanzania pia PhD yake ilikuwa feki. Licha ya hayo yote, wanaungana na wengi kuduwaa jinsi PhD feki ilivyo tofauti na PhD original. PhD original tulizonazo hapa Tanzania, hazitusaidii na hazijawahi kutatua matatizo yetu kama...
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Records za Mgunda na Nabi kimataifa zinatia uchungu

    Nabi Yanga 1-1 Al Hilal Al Hilal 1-0 Yanga Yanga 0-0 Club Africain Yanga 0-2 Viper Mechi ya Zalan tunaifuta ile sio timu ya maana. Ikumbukwe kwamba toka aje Yanga hajawahi kushinda mechi ya maana ya kimataifa. Juma Mgunda Nyasa 0-2 Simba Simba 2-0 Nyasa Agosto 1-3 Simba Simba 1- 0 Agosto Juma...
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Eng. Hersi hana uchungu na Yanga, atolewe kwa nguvu

    Hizi jeuri zinatoka wapi. Huku ni kulewa madaraka na kutukana watu kuita wala mihogo. Kwani mihogo ina tatizo gani mpaka uitumie kutukania? 😂😂😂😂
  9. Komeo Lachuma

    Kweli nawaambia, ili nchi hii iendelee inahitaji Rais Shupavu, Smart, Mwenye Uchungu na Nchi na Mapenzi kwa watu wake

    Tanzania haiji endelea hata siku moja kwa kuwa na Rais Legelege, mpiga porojo,chuma ulete,mpenda starehe,mdekezaji,mwivi,fisadi,asiyejiamini, anayeendeshwa na watu kadhaa. Nchi italiwa, itafisaidiwa kodi na mikopo. Wezi watakumbatiwa na kutamba kwenye korido za Ikulu. Maskini wana maskinika...
  10. N

    Kigwangalla na chozi la mamba, kama ana uchungu wa kweli vile

    Ukiwakuta hawa wamevaa ma scarfs ya bendera ya taifa na kushikilia ilani ya CCM kwenye makwapa yao unaweza kusema hii nchi imebarikiwa sana. Wengine walikwapua mabilioni ya wizara ya utalii na CAG akathibitisha lakini kimyaaaaa bado wanajifanya wazalendo, wakatumia hadi ndege za Tanapa kula...
  11. Chendembe

    Kongole TFF: Uchungu wa mwana aujuae mzazi

    TFF nawapongeza kwa kuamua kutumia wazawa kukinoa kikosi chetu Cha timu ya Taifa. Mtu chake. Mtoto wako ni wako hata akiwa na sura mbaya. Ninaimani na walioteuliwa. Tuwaunge mkono kwa hali yoyote ile, watatuvusha. "MECKY TAFADHALI MRUDISHE YONDANI NA NYONI KIKOSINI utakujanishukuru."
  12. R

    Mtanzania asiyelipa Kodi anakuwa hana uchungu na nchi yake. Asante sana system kwa kuweka hili sawa

    Yaani sisi tuliokuwa na uchungu na Nchi yetu na rasimali za Tanzania tulionekana ni wapiga kelele tu. Hatukuwa wakurupukaji tu bali tuna uchungu na nchi yetu tunapoona Kodi zetu zikitumiwa vjbaya na viongozi. Hilo la kuhakikisha kila mtanzania, kinana, mzee, mke na mume wanalipa kodi sasa...
  13. Crocodiletooth

    DOKEZO Ukwepaji kodi kupitia EFD ni mkubwa kweli mpaka nimeona uchungu Kariakoo leo

    Am very sorry, I was misled the information written were not true, tuzipuuze kwani hazina ukweli wowote and am sorry endapo kama thread hii imepelekea kuleta usumbufu wowote, infact all that written here are not truly. N. B: TUJITAYARISHE KWA SENSA AMBAYO ITAFANYIKA TAREHE 23 MWEZI HUU WA...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Hili la Yanga kupokea Sh.1,300 kati ya Sh.35,000 ya jezi, linatia uchungu sana

    Huu ni unyonyaji
  15. Sky Eclat

    Bwana Bonge alichanganywa na uchungu wa kuuguza mke na mapenzi ya mama wa kazi

    Bwana Bonge ni mmoja wa matajari wa nchi ya Kusadikika, alimuoa classmate wake ambae alijaliwa kupata nae watoto wanne. Wakike mmoja na wanaume watatu. Watoto wote walishakua na miji yao na wengine waliishi nchi za mbali. Mrs Bonge aligundulika na saratani ya ziwa akiwa na miaka 40, wakati...
  16. M

    Sakata la Halima Mdee na Wenzake ni fundisho tosha kwa ambao hawana uchungu na taifa lao. Ikipendeza wapiga kazi mpaka 2025

    Hivi inakuwaje unakuwa na uchungu Mdee na kundi lake la wanadada 19 kuwa wabunge hata kama wanazama mjengoni kimazabe? Hii ndio sababu ya kukupain mpaka mshipa wa koo unataka kukukatika! Mbona mnashabikia upuuzi usio na tija yaani bil 11 na ushee zinatumika kushuti filamu ya kawaida kabisa...
  17. N

    Kwa heshima na taadhima, nawaomba CCM 2025 mtuletee Mgombea bora mwenye uchungu na nchi hii

    Baada ya kuona kabisa kwamba tuko kwenye uelekeo ambao hauna dira, napemda kutoa Rai kwa Chama cha Mapinduzi 2025 mtuletee mgombea Urais mwenye dira maono na mwenye uchungu na Rasilimali za nchi hii. Hatuhitaji mtuletee mtu ambaye kutwa kucha anawaza uchaguzi na jinsi ya kuendelea kuwa Rais...
  18. FRANCIS DA DON

    Nini husababisha baadhi ya viongozi kuongea kwa hisia kali na uchungu wanapokuwa majukwaani wakihutubia?

    Kuna baadhi ya viongozi wanapoongea huwa wanapenda kudhirisha kwamba wanamaanisha wanachokisema na sio mzaha mzaha, mfano muone huyu jamaa hapo kwenye video chini; Mfano awe anasema “ole wako nikukute unakula pesa za umma..., nakutapisha zote hadi utapike na damu kabisa!!!” Watumishi wa Umma...
  19. OKW BOBAN SUNZU

    Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

    umefika wakati maji yameanza kujitenga na mafuta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  20. Nyankurungu2020

    Mwaka 2021 umefika ukingoni, mbaya zaidi ni watanzania wenye uchungu na taifa lao,ambao wanapinga ubadhilifu walibatizwa jina la Sukuma gang.

    Huu mwaka haukuwa mzuri sana kwa taifa letu maana tumepoteza ndugu na viongozi wetu. Wengine baada ya kuondoka na kuaga dunia yameibuka mambo mengi. Sasa kila mtanzania anayepinga ufisadi na kuenzi mazuri yaliokuwa yanafanywa na hayati JPM lazima atapachikwa jina la Sukuma gang. Kila mtanzania...
Back
Top Bottom