Matokeo ya hivi karibuni kutoka kliniki binafsi na za umma zinazotoa huduma za uchunguzi wa DNA kote nchini Malawi yanaonyesha kuwa takribani asilimia 80 ya wanaume wanaojitolea kufanya vipimo vya vinasaba kutokana na tuhuma za usaliti wa wenzi wao hubainika kuwa si baba halisi wa watoto wao...