MALAWI: Asilimia 80 ya wanaume waliopima DNA wagundulika sio baba wa watoto

MALAWI: Asilimia 80 ya wanaume waliopima DNA wagundulika sio baba wa watoto

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Matokeo ya hivi karibuni kutoka kliniki binafsi na za umma zinazotoa huduma za uchunguzi wa DNA kote nchini Malawi yanaonyesha kuwa takribani asilimia 80 ya wanaume wanaojitolea kufanya vipimo vya vinasaba kutokana na tuhuma za usaliti wa wenzi wao hubainika kuwa si baba halisi wa watoto wao.

Vipimo vya DNA  malawi.jpg
Hata hivyo, maafisa wa afya na wachambuzi wa masuala ya sheria wamesisitiza kuwa kiwango hiki kinahusiana tu na kesi zinazotokana na mashaka binafsi kwenye baadhi ya familia.

Hata hivyo, vipimo vya DNA vinavyofanywa kama sehemu ya taratibu rasmi za mahakama katika kesi za matunzo ya watoto vinaonyesha matokeo tofauti kabisa. Katika kesi kama hizo takribani asilimia 90 ya wanaume wanaopimwa huthibitishwa kuwa baba wa kibiolojia wa watoto husika.
Vipimo vya DNA.jpg

Source: DW Afrika

=======

Via:
Malawi24

WHO’S THE DADDY? 80% of men in Malawi are not biological fathers

‘…I no longer trust women’ – Swed

That child you call yours might not be yours after all. DNA paternity tests in Malawi show about 80 percent of men are not biological fathers of ‘their’ children, figures that arguably paint Malawi as a cheating haven.

Genetics scientist Kingdom Kwapata told local newspaper The Nation that data from DNA paternity tests reveals a staggering reality that could leave men across Malawi quivering, with some potentially raising children who are not biologically theirs without knowing it.

Kwapata told the paper that he handles more than 30 paternity cases a month, nearly 400 annually, with negative results consistently hovering around 80 percent.

“About 80 percent of paternity cases linked to suspected infidelity are initiated by men, and in roughly 80 percent of those cases, the men are proven right,” he was quoted as saying by The Nation.

Attestation Background Checks and DNA Limited Malawi, which operates clinics in Blantyre and Lilongwe, has reported a similar 80 percent non-paternity rate among clients seeking DNA tests.

Ibrahim Swed, a Lilongwe-based businessperson, is among men who sought testing to settle long-standing doubts. He underwent DNA tests in 2022, with some negative results confirming his suspicions.

“I have very little trust in women now,” Swed told The Nation. “For all the children I was told were mine, I had to undergo DNA testing to confirm.”

The trend is increasingly spilling into divorce, child maintenance and inheritance disputes as more men turn to DNA testing following suspicions of infidelity.

The figures, however, relate to men undergoing paternity testing, particularly those already suspicious of infidelity, and do not mean that 80 percent of all fathers in Malawi are raising children who are not biologically theirs.

The picture is dramatically different in maintenance disputes. “In court-referred cases where men are simply trying to evade maintenance, around 90 percent are actually proven to be the biological fathers,” Kwapata said.

Public Affairs Committee (PAC) spokesperson Bishop Gilford Matonga described the statistics as a “worrying symptom of moral decay and marital infidelity”.
 
Ni huzuni sana kulea bao la mwanaume mwenzio bila kujijua ni bora ile unamkuta tiyari ana watoto wake ukajua fika kabisa sio wako kuliko wale unaojua kabisa ni wako kumbe ni kiini macho
 
Matokeo ya hivi karibuni kutoka kliniki binafsi na za umma zinazotoa huduma za uchunguzi wa DNA kote nchini Malawi yanaonyesha kuwa takribani asilimia 80 ya wanaume wanaojitolea kufanya vipimo vya vinasaba kutokana na tuhuma za usaliti wa wenzi wao hubainika kuwa si baba halisi wa watoto wao.

Hata hivyo, maafisa wa afya na wachambuzi wa masuala ya sheria wamesisitiza kuwa kiwango hiki kinahusiana tu na kesi zinazotokana na mashaka binafsi kwenye baadhi ya familia.

Hata hivyo, vipimo vya DNA vinavyofanywa kama sehemu ya taratibu rasmi za mahakama katika kesi za matunzo ya watoto vinaonyesha matokeo tofauti kabisa. Katika kesi kama hizo takribani asilimia 90 ya wanaume wanaopimwa huthibitishwa kuwa baba wa kibiolojia wa watoto husika.

Source: DWafrika

Kichwa cha habari kimebeba ujumbe usioendana na taarifa halisi. Hii ni asilimia 80 ya wanaume wenye migogoro ya kifamilia kuhusiana na kesi au mashaka binafsi na si asilimia 80 ya wanaume waliopima DNA Malawi.
 
Kichwa cha habari kimebeba ujumbe usioendana na taarifa halisi. Hii ni asilimia 80 ya wanaume wenye migogoro ya kifamilia kuhusiana na kesi au mashaka binafsi na si asilimia 80 ya wanaume Malawi.
Umesoma mambo ya sampling? Au umeishia la 3C?
 
Huko ndo unaenda kushoto kabisa, afadhali mimi wa la 3C, huwezi kufanya sampling bila ku-define study population vs target population vs generalization of results finding. Kasome tena.
Acha kukarir ujinga, kwahyo kuna watu wanapima DNA bila migogoro au mashaka?

Au unafikir tupo Israel au USA vitani?
 
Acha kukarir ujinga, kwahyo kuna watu wanapima DNA bila migogoro au mashaka?

Au unafikir tupo Israel au USA vitani?

Jibu ni ndiyo.
Tuwe tunajitahidi kusoma na kuelewa si kung'ang'ania kutokutaka kuelewa.

Kwani kupima DNA ni unethical issue?
Ukitaka kufanya utafiti wenye lengo husika, hutahitaji utafute wenye migogoro tu, unaweza kuandika proposal yako na malengo, define population kulingana na malengo then fanya sampling. Lipia watu kipimo, fanya utafiti.

Tofautisha sample zifuatazo:
1: Kuchukua sample ya watu wenye migogoro tayari tu.
2: Kuchukua sample ya watu mchanganyiko ndani yake wakiwa na migorogoro husika na wasio na migogoro husika.

Bila kuathiri mambo mengine yoyote ya kitafiti, ni sample ipi inahusisha jamii nzima na ipi inahusisha kundi maalum la jamii?

Huwezi kuchukua watu wenye Risk ya tatizo tu/Exposed, majibu yake uyapeleke kwenye jamii nzima.

Mwenye ripoti yake kakuandikia:

"About 80 percent of paternity cases linked to suspected infidelity are initiated by men, and in roughly 80 percent of those cases, the men are proven right,” he was quoted as saying by The Nation."

'The figures, however, relate to men undergoing paternity testing, particularly those already suspicious of infidelity, and do not mean that 80 percent of all fathers in Malawi are raising children who are not biologically theirs.'

Haya kuja kipande hii tujadili kwa kulinganisha na ulichokiandika kwenye kichwa cha habari.
 
Jibu ni ndiyo.
Tuwe tunajitahidi kusoma na kuelewa si kung'ang'ania kutokutaka kuelewa.

Kwani kupima DNA ni unethical issue?
Ukitaka kufanya utafiti wenye lengo husika, hutahitaji utafute wenye migogoro tu, unaweza kuandika proposal yako na malengo, define population kulingana na malengo then fanya sampling. Lipia watu kipimo, fanya utafiti.

Tofautisha sample zifuatazo:
1: Kuchukua sample ya watu wenye migogoro tayari tu.
2: Kuchukua sample ya watu mchanganyiko ndani yake wakiwa na migorogoro husika na wasio na migogoro husika.

Bila kuathiri mambo mengine yoyote ya kitafiti, ni sample ipi inahusisha jamii nzima na ipi inahusisha kundi maalum la jamii?

Huwezi kuchukua watu wenye Risk ya tatizo tu/Exposed, majibu yake uyapeleke kwenye jamii nzima.
Unaongea ujinga mtupu, wote wanaopima DNA ni mashaka ya kupigwa ukiondoe masuala ya utambuzi wa marehemu zilizoharibika kabsa

Hoja yako ni sawa na kusema uchukue watu ukawapime ukimwi kisa kupima ukimwi kwa ridhaa ni ethical

Ww ungekubal tukulipie ukapime DNA na mwanao?

Au uwez ona watakaokubal ndo walewale wenye mashaka?

Acha kukariri madesa kijana, unaongea na gwiji la kuandaa na kufanya research, thesis na maandiko mengine, mm sio layman
 
Unafikiri mwenzio aliweka hii sentensi kwa bahati mbaya:

"'The figures, however, relate to men undergoing paternity testing, particularly those already suspicious of infidelity, and do not mean that 80 percent of all fathers in Malawi are raising children who are not biologically theirs.'

Soma andiko ulilolileta ulielewe kwanza, umebeba kitu ambacho haujakielewa mantiki. Acha u-SUPEREGO tafakari kabla ya kujibu vitu, tafuta uelewa na maarifa ndani ya unachokifanya si u-mimi na ninajua sana. Niko tayari kukufahamisha vitu kwa utaratibu bila kuingiza kejeli wala matusi. Tusaidiane, hujui mwenzako ana elimu au ujuzi gani, chukua nafasi kujifunza kwa wengine.
 
Back
Top Bottom