Ni maswali ya kujiuliza jinsi wanavo kuja na silahaa ambazo hata kibari cha kumiliki uwezi pewa zaidi ya vitengo vinavyo husika tu huku magari ambayo hata uwezi miliki sababu mengi yanakuwa kwenye idara.
Watekaji wanaweza kuja kweupe na ikitokea purukushani ndio ukubari kuwa wamehusika idara...
Ni jambo la kusikitisha kuona kuwa mwezi mzima umepita tangu mauaji ya kikatili ya Mzee Ali Kibao, lakini mamlaka bado zimeendelea kuwa kimya kuhusu ripoti ya uchunguzi wa kifo chake.
Awali, ziliahidi kwamba matokeo ya uchunguzi yangewekwa wazi ndani ya masaa machache, lakini hadi sasa hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.