Tume ya kwanza haikutosha kumfunga paka kengele!
Hii ya pili naona Ina kibwagizo "tujue nani alietoa fedha za kusababisha vurugu za uchaguzi"
Kwa kauli hii nadhani Kuna MTU anatafutwa abebeshwe zigo zito la kifedha na wenzake ili aonekane na eye alishiriki kuhujumu uchaguzi na damu za wapiga...
Kutoka mtandao wa X 👇. Tunasubiri majibu ya kizalendo kutoka kwa msemaji wa Serikali.
--------------
Kamati ya Mambo ya Nje ya Seneti ya Marekani (U.S. Senate Foreign Relations Committee) imetoa taarifa inayoonesha kwa kina hatua za kutia wasiwasi zinazochukuliwa na Serikali ya Tanzania...
Kuna zidi kunuka huko kenya inasemekana kuna wabunge wanahusika.Ila kwetu itelejensia ni CCM.
https://www.youtube.com/watch?v=_rM8NExBTGw
Mbunge Ong’ondo Were alipata majeraha matano ya risasi, huku risasi zikiharibu viungo muhimu vya mwili wake kama vile moyo, mapafu, ini na mshipa wa aorta na...
Ni maswali ya kujiuliza jinsi wanavo kuja na silahaa ambazo hata kibari cha kumiliki uwezi pewa zaidi ya vitengo vinavyo husika tu huku magari ambayo hata uwezi miliki sababu mengi yanakuwa kwenye idara.
Watekaji wanaweza kuja kweupe na ikitokea purukushani ndio ukubari kuwa wamehusika idara...
Ni jambo la kusikitisha kuona kuwa mwezi mzima umepita tangu mauaji ya kikatili ya Mzee Ali Kibao, lakini mamlaka bado zimeendelea kuwa kimya kuhusu ripoti ya uchunguzi wa kifo chake.
Awali, ziliahidi kwamba matokeo ya uchunguzi yangewekwa wazi ndani ya masaa machache, lakini hadi sasa hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.