RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Tume ya kwanza haikutosha kumfunga paka kengele!
Hii ya pili naona Ina kibwagizo "tujue nani alietoa fedha za kusababisha vurugu za uchaguzi"
Kwa kauli hii nadhani Kuna MTU anatafutwa abebeshwe zigo zito la kifedha na wenzake ili aonekane na eye alishiriki kuhujumu uchaguzi na damu za wapiga kura!!
Makam wa rais wa nchi za maziwa makuu kuhusishwa na kutoa fedha kwa waasi ili ku destabilize utawala wa awamu Fulani wa nchi nyingine haijaanza leo,zipo nadharia na speculations kibao za makam wa rais wa nchi Fulani alipaswa kushungulikiwa ipasavyo baada ya uchunguzi kuonyesha alishiriki kutoa mchango wa kifedha kwa vikundi vya uasi katika nchi fulani na wakubwa wakachukizwa na kitendo kile matokeo yake ni makam yule alipotea ghafula bin vuu na kuteuliwa mwingine!!
Je? Tume mpya inaenda kumfichua yuda alietoa msaada wa kifedha kwa vikundi vya fujo vya October 29!!?
Nasubiria kuona hii sarakasi mpya!!
Kazi na utu,tunasonga mbele!!
Nawaza na kuwazua!!