uchunguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Uchunguzi wangu: Matumizi ya fedha za Umma

    After a long time of usage and public checkability! I have noted that: 1. Rais anaweza kutumia kiasi chochote cha fedha za Umma as long as zinamwelekeo wa kumpigia kampeni za uchaguzi 2025. Na "wahuni" wameshamsoma, ndiyo maana wasanii by 99,99999% wako upande wake kwa vile watachota pesa za...
  2. DC Ubungo afika nyumbani kwa Damian Method anayedaiwa kutekwa na watu wenye silaha, asema uchunguzi unaendelea

    Wakuu Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Lazaro Twange amefika nyumbani tarehe 03 Februari, 2025 akisema vyombo husika vinaendelea na uchunguzi wa tukio la kutekwa kwa Damian Method huku akiitaka familia kutoa ushirikiano mara wanapopata taarifa yoyote kuhusu tukio hilo la utekaji. Kijana anayejulikana...
  3. Mahakama ya Kimataifa ICC: Uchunguzi dhidi ya Uhalifu wa kivita DRC unaendelea

    Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita Mh Karim khan amesema mahakama ya ICC na mamlaka za DRC zinashirikiana kuchunguza madhila na madhara ya uhalifu huo, aidha Khan amesema ushahidi bado unaendelea kukusanywa ili kuwabaini pasipo shaka wahusika wote waliohusika...
  4. Wanandoa wengi walishaachana kwenye nafsi zao ingawa kimwili wanaonekana wapo pamoja lakini si wamoja

    Habari za jumapili waungwana wa jukwaa hili, Katika hali ya kawaida kama ilivyozoeleka na wengi katika ulimwengu wa maraha na mahaba ukimuuliza mwanandoa sababu ipi iliyomfanya aolewe/ amuoe mwenza wake na kudumu nae miaka yote.....jibu linatakiwa kuwa jepesi kuwa KWA KUWA NI CHAGUO LANGU NA...
  5. Uchunguzi wa RITA waibua ufisadi wa zaidi ya shilingi Bilioni 2 katika Msikiti wa MANYEMA, Kariakoo

    Taasisi ya Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imebaini ubadhirifu mkubwa wa mali na fedha zinazozidi Shilingi bilioni 2 katika Msikiti wa Manyema uliopo Kariakoo, Dar es Salaam. Matokeo haya yamepatikana kupitia ukaguzi wa kina wa mali na mapato ya msikiti huo, kama ilivyotangazwa na Mkurugenzi...
  6. Mlipuko nje ya Hotel ya Trump: Uchunguzi wabaini ni tukio la kujitoa mhanga

    Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) ikimtaja Matthew Livelsberger, kuwa mtu aliyefariki ndani ya gari aina ya ‘Tesla Cyber truck’ iliyolipuka nje ya hoteli maarufu ya Trump jijini Las Vegas, polisi nao wamesema ni tukio la kujitoa muhanga. Tukio kilo lilitokea zikiwa zimepita saa chache...
  7. Serikali iruhusu uchunguzi huru uanze upya kuhusu kupotea kwa Ben Saanane na shambilio la risasi dhidi ya Tundu Lissu

    Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana . Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane . Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu. Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi...
  8. U

    Waziri Mkuu wa Israel agundulika na Kansa ya tezi dume stage 3 baada ya kufanyiwa uchunguzi

    Wadau hamjamboni nyote? Tumuombee mwamba Mungu amfanyie wepesi alone arudi kuongoza mapambano dhidi ya magaidi Mungu ibariki nyumba ya Yakobo PM to be hospitalized for several days for prostate surgery, Prime Minister Benjamin Netanyahu addresses the Knesset, December 23, 2024. (Chaim...
  9. Pre GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Kawaida: Uchunguzi ufanyike kufuatia vitendo vya utekaji na mauaji

    Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesisitiza jeshi la polisi kuwa wafanye uchunguzi kufuatia vitendo vya mauaji na utekaji na pale wanapopata taarifa watoe kwa jamii ili wajue kinachoendelea. Mwenyekiti ameyasema hayo tarehe 04 desemba 2024 akitoa...
  10.  Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA Mkoani Rukwa

    Salaam Wakuu, Awali, ikidaiwa kwamba Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha...
  11. L

    DOKEZO Serikali Ifanye Uchunguzi Wa Kifo Cha Dkt Faustine Ndugulile Na Kuongeza Ulinzi Mzito Kwa Dkt Tulia Ackson

    Ndugu zangu Watanzania, Ifike mahali kama Taifa tusikubali kila kifo kipite hivi hivi au kuacha mambo yaende hivihivi kana kwamba hakuna kilichotokea vile au kusema ni Mapenzi ya Mungu au kuona ni kawaida.Mungu ametupatia akili kwa ajili ya kufikiri na kufanya tafakari kwa msaada wake Mungu...
  12. Hitimisho la Uchunguzi: Jiografia kama Sababu Kuu ya Kudumaa kwa Maendeleo ya Afrika (tumtue kidogo mkoloni mzigo wa lawama)

    Kwa yoyote ambaye amekuwa akifuatilia makala zangu za hivi karibuni, bila shaka ameona kwamba nimekuwa na mtazamo tofauti kuhusu sababu za kudumaa kwa maendeleo ya bara letu. Ingawa ukoloni mara nyingi hupewa lawama kubwa, uchambuzi yakinifu wa kihistoria na kijamii unaonyesha kwamba hata bila...
  13. Kutangazwa hadharani wajumbe wa kamati nzima ya uchunguzi majengo Kariakoo ni kosa la kiufundi

    Kamati ya kuchunguza majengo/ Maghorofa Kariakoo imetangazwa leo hadharani. Wajumbe wote watakohusika katika kamati wamewekwa hadharani leo na Waziri Mkuu, hii inaweza kuwa kosa kubwa la kiufundi kwa sababu wenye majengo watakuwa wamepata fursa ya kuwajua wakaguzi na kujipanga mapema. Katika...
  14. Iringa: Polisi yaanza uchunguzi mauwaji ya Katibu wa CCM Kilolo

    Hivi nchi yetu tunaelekea wapi jamani? Maana matukio ya kutisha yanazidi kutoea. Haya Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa limeingia kazini kufuatailia tukio la katibu wa CCM aliyeuwawa leo, Je watachukua muda gani kuja na majibu na pengine kuwakamata hao wauwaji? ================== Jeshi la Polisi...
  15. Polisi watoa tamko tukio la jaribio la utekaji Kiluvya, wasema uchunguzi umeanza toka aliporipoti Novemba 11, 2024

    Wakuu, Baada ya video kutoka ndio tunajuzwa tukio lilitokea juzi! Bila video kuja kitaa wananchi tujakua lililotokea uchunguzi ungefanyika kweli au ndio lingeisha kimyakimya, pengine na kaka wa watu kwenda kuchukuliwa tena mara hii wakiwa wamwjipanga? Halafu mbona wanaremba maneno hivyo "watu...
  16. Madaktari wa kiume wasijihusishe na uchunguzi wa sehemu za Siri za wanawake, sera itungwe upya daktari wa kike ahudumie wanawake!

    Kama ilivyo polisi wanapoenda kumkamata mhalifu wa kike askari anayehusika na ukamataji ni askari wa kike, hata magereza ya kike huwa inahudumiwa na askari wanawake. Upande wa afya mambo ni tofauti, vijana wa kisasa waliojipata kuwa madaktari na wauguzi wanafanya michezo ya kishetani kwa mama...
  17. Uchunguzi wangu unaonyesha wanaume wengi hufa mapema kwa sababu hawakupendwa na wake zao

    UCHUNGUZI WANGU UNAONYESHA WANAUME WENGI HUFA MAPEMA KWA SABABU HAWAKUPENDWA NA WAKE ZAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu wengi hujiuliza Kwa nini Wanaume hutangulia Kufa Kabla ya Wake zao. Imefikia hatua jamii imeshakuwa na mtazamo huo kuwa Mwanaume lazima atangulie Kufa Jambo ambalo...
  18. Pamoja imefungwa TFF fanyeni uchunguzi kwa kuwapima wachezaji wa timu zote madawa yaliyopigwa marufuku michezoni

    NImeuangalia mchezo vyema napata mashaka kidogo kwa wachezaji wa timu fulani ni lazima tff wafanye vipimo vya ghafla kwa kuwapima madawa haramu yaliyopigwa marufuku michezoni kuna kila dalili hili jambo linafanyika katika ligi yetu si kwa pumzi zile........ Tunataka mechi halali zisizo na hila!
  19. Pamoja imefungwa TFF fanyeni uchunguzi kwa kuwapima wachezaji wa timu zote madawa yaliyopigwa marufuku michezoni

    NImeuangalia mchezo vyema napata mashaka kidogo kwa wachezaji wa timu fulani ni lazima tff wafanye vipimo vya ghafla kwa kuwapima madawa haramu yaliyopigwa marufuku michezoni kuna kila dalili hili jambo linafanyika katika ligi yetu si kwa pumzi zile........ Tunataka mechi halali zisizo na hila!
  20. Uchunguzi usiokuwa rasmi;Ndoa za waliowahi kuwa madada wa kazi( ma house girl) zinadumu kuliko za hawa wengine.......

    Habari za asubuhi waungwana...... Wakati mwingine kukaa bila kazi ya kufanya inafanya kichwa kizurure kifikra na kupitia mawazo mbali mbali....... Katika kuzurura huko kimawazo nikajikuta nimewakumbuka baadhi ndugu, jamaa na marafiki ambao imetokea wameangukia kwenye pendo la hawa wadada wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…