udalali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kazi ya udalali inalipa sana kiukweli siwezi kuiacha hii kazi

    Wakuu katika Kazi ambazo zinalipa ni pamoja na udalali. Hii inakuhitaji uwe at least unajua kiingereza , mwandiko mzuri na kuwa na ushawishi wa kuongea vyema. Kiufupi njia ambazo natumia kufanya hii biashara ni kuwa na smartphone nzuri , laptop kali . Kisha naaanza kutangaza bidhaa mbalimbali...
  2. Udalali nayo ni ofisi pia

    Habari ndugu zangu. Ni siku nyingine tena kwenye chini ya JUA. Baada ya kuzurula sana kutafuta gari ya Uber na bolt bila mafanikio huku nikiwa napiga Domo (Dalali) Kuna jamaa humu alinichek nikakutana nae tukapanga fresh Gari iwekwe gesi maana Gari yake ilikuwa CC 1700.Brother hujanipigia tena...
  3. Masoko ya udalali yanavyoingiza watu katika biashara yenye mazungumzo yanayojumuisha ulaghai

    Dalali wengi katika biashara ya ardhi, nyumba, mashamba, na mazao hutumia udanganyifu na ulaghai ili kuvuta wateja. Wanaahidi mali nzuri na fursa za haraka za utajiri, lakini mara nyingi wanajificha nyuma ya picha za uwongo na mikataba isiyo halali. Wateja wanapokuwa na tamaa ya mafanikio ya...
  4. Tuliopiga sana pesa za udalali kwenye biashara na bado life gumu tukutane hapa

    Bwana bwana miaka ya 2018-2020 kuna goli(duka) la magodoro nilikuwa nauza maeneo ya kinyerezi location ya duka haikuwa mbaya ilikuwa nzuri sana opo road kabisa na wanunuaji wengi walikuwa kipato cha kati. Sasa bwana ilikuwa akija mteja ni lazima apigwe udalali kama bei ya kuuza ni tsh 200,000...
  5. G

    Side hustle: natengeneza laki 1+ kila wiki kwa kuwauzia electronics ndogo watu wa vijijini na mikoa ya karibu, nawe unaweza

    Hii ni side hustle, sio shughuli yangu rasmi Sipo Dar lakini nipo kwenye jiji mojawapo kati ya matano, kama mnavyojua kwenye majjiji kuna utitiri wa electronics na ushindani wa hali ya juu unaofanya bei ziwe competitive. Kwenye biashara ya kudalalisha vitu, ujuzi wa vitu unavyouza ni muhimu...
  6. Nahusudu kufanya kazi ya udalali wa nafaka

    Nahusudu kufanya kazi ya udalali wa nafaka hasa mchele kwenye maneno husika kama mbeya, kahama, mwanza. Kipi nianze nacho kwa mgeni wa maneneo hayo
  7. G

    Vijana wa vyuoni, mjifunza na mjichanganye na bodaboda, mama ntilie, kinyozi, dalali, wafugaji, n.k. Just in case ! walezi na wazazi muwasihi.

    MOVED >>
  8. M

    Udalali wa kutisha wa ardhi ya nchi, Profesa Shivji aonya kuwa watawala hawaoni mbali, wanaangalia pafupi sana

    Professa wa sheria Issa Shivji wa Tanzania anayeheshimiwa duniani na aliyefundisha na kutafiti na kuandika vitabu vingi vya masuala ya ardhi anawakumbusha Watanzania: nchi inauzwa kwa kasi na "Wamawakala wapya wa mabeberu." ambao anasema sifa zao ni "Watawala hawaoni mbali. Siasa zao ni za...
  9. E

    Wawekezaji wanapopewa leseni ya udalali: Be-Forward sasa yavamia soko la nyumba

    Naangaza angaza magari ya Be-Forward nakuta wanantangazia nyumba za kupanga na kununua... Hili ni kampuni la Kijapani, hela zao zinaenda Japan, hata mtandao wao ni real-estate-tanzania.beforward.jp..... Hiyo "dot JP" inasema ni mtandano wa Kijapan! Tunahitaji kutoa vibali kwa wawekezaji...
  10. Utapeli na udalali wa ndoa hususani kwa watu maarufu

    Nimeitoa huko twitter, Nasikia yule mtangazaji mpiga kelele ambaye angekuwa pastor huenda angefit na kuprove well maana ile sauti ya mjuba siyo ya kusomea tu magazeti. Bila kupoteza muda ni kwamba inasemekana kampa red card mh: kisa tu kapost picha za harusi jambo ambalo mjuba hakutaka...
  11. Nawashauri vijana wenzangu Udalali ndiyo msingi wa kipato kwa dunia ya leo, hususani Tanzania

    Assalam Alaykum! Wadau wa JF kila siku kumekuwepo na kawaida ya kuunda nyuzi tofauti za watu kuomba ushauri wa kujikwamua kimaisha lakini wengi wa wachangiaji hawaoneshi nia na azma ya kusaidia,waomba ushauri wengi huangukia patupu leo mimi @Muhafidhina nimeamua kutoa ushauri kwa vijana...
  12. Udalali stendi za mabasi too much

    Ifike muda udikteta tu uje na kuwaondoa hawa madalali kwa nguvu hata km damu ikimwagika coz imezidi. Mtu hata raha huna ni harassment daily tu hata uwe na tiketi yako au la kwenda mikoani. Na pia ifike muda sio kila basi lipewe leseni ya kusafiri km halikidhi hadhi. Unakuta kampuni km 100 98...
  13. R

    Zanzibar: Wakamatwa wakiendesha mtandao wa kuingilia watoto wa kiume, kurekodi na kufanya udalali

    Zanzibar: Wakamatwa wakiendesha mtandao wa kuingilia watoto wa kiume, kurekodi na kufanya udalali. "Kuhusu ule mtandao nimejua kupitia walewale ambao wamo kwenye mtandao na kuanza kuwakamata watuhumiwa. Simu zao ndio zikawa zinatuonesha nini kipo na wao wenyewe wakawa wanatueleza nani dalali...
  14. R

    Nani anapaswa kulipa hela ya udalali kati ya mwenye nyumba na mpangaji?

    Wakuu, Katika harakati za kutafuta nyumba kwa ajili ya shughuli mbalimbali madalali wamekuwa wakitumika kufanikisha jambo hilo. Wenye nyumba hutafuta madalali ili kuweka wepesi katika kupata wateja, na imekuwa rahisi kwa wapangaji kufikia maeneo hayo kirahisi kupitia madalali. Ambapo, baada ya...
  15. SoC03 "Wazee wa cha juu" : Jinsi udalali unavyoua soko la ndani

    Maisha ya kawaida ya mtanzania ni pamoja na uwakala wa bidhaa na huduma au maarufu kama ujulikanavyo "udalali". Tangu kupanda kwa jua mpaka machweo yake, watu wanatafuta masoko ya bidhaa zao ama fursa mpya --waitavyo wenyewe "chimbo" . Lakini mimi binafsi bwana kuna jambo moja linalonikera...
  16. R

    Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

    Kwema Wakuu, Mambo yasiwe mengi, changamoto za kutafuta nyumba na kukutana na madalali tunazijua, hivyo kama wewe ni mpangaji unatafuta nyumba au mwenye nyumba unatafuta mpangaji, njoo hapa sema hitaji lako na wenye uhitaji kupata anachohitaji. Mpangaji Aina ya nyumba: Appartment / stand alone...
  17. M

    Wabunge wenye maono ya Magufuli wamenyimwa nafasi kuchangia muswada wa Bandari au Wamepuuza udalali wa rasilimali za nchi?

    Mle bungeni kuna wabunge ambao hawakubaliani na ugawaji holela wa uendeshaji wa bandari yetu. Wabunge hao wamejikuta wanatengwa na Spika kwa kuwanyima fursa ya kuchangia muswada wa bandari ili kutoa nafasi kwa wabunge wenye kuweka mbele masilahi yao binafsi ndani ya chama kuchangia. Leo hii...
  18. Virusi vya udalali Tanzania

    Sidhani kama uko nyuma ilikuwa kama ivi lakini sasa inaonekana kila kona udalali wa kila kitu ingawa hata kazi ya huo udalali huioni. Kwa kawaida maana ya udalali ni kwamba anakuwa mtu wa kati ya kuwakutanisha anayetaka huduma Fulani au bidhaa na muuza bidhaa na siku zote au kwa jamii zote za...
  19. Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Nyumba Mwaka 2023

    PILI; Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo Makala iliyopita nilikushirikisha jinsi nitavyofanya endapo nitakosa fedha kwa ajili ya kununulia nyumba ya kupangisha. Nilitaja mambo ambayo ninaanza nayo. Mambo hayo ni;- ✓ Kumiliki mtandao wa mauzo ya viwanja...
  20. Kibongobongo biashara ipi rahisi kutoka? Uzalishaji, Uchuuzi au Udalali?

    Howdy, Wakuu hivi tuseme ule ukweli, kibongobongo ni aina ya biashara ipi rahisi kutusua kati ya uzalishaji, uchuuzi(ulanguzi) au udalali? By kutusua simaanishi Levo za kina Mo na bakhresa. Namaanisha zile level za kujisustain middle income, nyumba kali ila sio mansion, ndinga kali ila siyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…