udalali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam

    1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road) 2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara 3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
  2. FLAVOR

    Nauza gari yangu, GX100 kwa member haina udalali

    Done
  3. chiembe

    Ushauri: Haji Manara arudie kazi yake ya udalali na kufundisha madrasa, maisha yatamuwia magumu

    Namshauri Haji Manara arudie kazi yake ya zamani ya kufundisha madrasa na udalali wa nyumba na magari. Muda si mrefu GSM atachoka kumlipa mshahara wa Bure.
  4. Aliko Musa

    Huyu Ndiye Anayetakiwa Kumlipa Dalali Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi Na Majengo

    Dalali anatoa huduma ya kuunganisha huduma zinazohusiana na ardhi na majengo kati ya makundi yafuatayo;- ✓ Wapangaji na wenye nyumba. ✓ Wauzaji na wanunuzi. ✓ Watoa mikopo na wapokeaji mikopo ya majengo. Haya ndiyo makundi makuu (3) ambayo huhusika na gharama za kumlipa dalali kwenye...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Majibu ya Udalali wa Wasaidizi wa kazi za ndani. Ufafanuzi wa kina

    MAJIBU NA UFAFANUZI KUHUSU UDALALI/UWAKALA WA WASAIDIZI WA KAZI ZA MAJUMBANI. Anaandika, Robert Heriel. Wakala wa WASAIDIZI WA Ndani. Bila Shaka wote ni wazima humu. Andiko hili nitaeleza muhtasari wa suala la Wasaidizi wa kazi za ndani. Mimi nikiwa Mdau, na mkurugenzi wa Kampuni inayohusika...
  6. The Assassin

    Udalali wa Zitto & Co kwa makampuni ya gesi na mafuta

    Kwa mtu ambae haelewi ama hajui anaweza kusoma hoja za Zitto na wenzake kina Heche, Lema nk kwamba wana hoja ya maana sana kumbe hakuna kitu. Tunaojua tunajua hao ni madalali kama madalali wengine wale aliosema Lukuvi walipe kodi. Bora hao madalali wa vyumba na nyumba na viwanja, hawa kina...
  7. S

    TRA waunde kitengo cha upangishaji wa nyumba, kila mwenye nyumba aripoti TRA anapotaka kupangisha na iwe kwa mujibu wa sheria

    Mimi ni miongoni mwa watu naopinga sana madalali kutaka kulipwa kodi ya mwezi mmoja kwani ni kuumiza wapangaji kwa kuwaongezea gharama za maisha. Kibaya zaidi, wako wenye nyumba hawapangishi mtu bila kupitia madalali wao hata kama inawezekana kupanga bila kupitia hao madalali. Hivyo...
  8. ommytk

    Ushauri: Soko la Karume waangalie vibaka wanaojificha kwenye udalali hapo sokoni

    Ushauri kwa uongozi wa soko la ilala karume kuchukua hatua za haraka kuondoa watu wanaojifanya madalali wakiona mteja kukuchukua na kukupeleka kununua kitu yaani kwanza wasumbufu wengine wananuka pombe vibaka tupu waondolewe pale haraka hakuna mtu ujui unaenda kununua kitu gani ukiwa umetoka...
  9. Nijosnotes

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Buhongwa, Mwanza hakina udalali

    Kiwanja kinauzwa Buhongwa mwanza mita 800 tu kutoka stendi ya daladala buhongwa. Ukubwa ni Squaremeter 1200 Kiwanja ni tambalale na kipo barabarani kabisa, eneo limeendelea kwa makazi ya watu.... Huduma za umeme na maji zimefika. Bei Tsh. 18,000,000. Hakina udalali ongea na mwenye nyumba...
  10. D

    Kamati ya Corona ifanye kazi kwa siri, kuepuka madalali

    Hawa jamaa chenga kabisa! Ndugu yako akiwa dalali basi kuwa nae makini sana. Kazi ya udalali ina mapepo. Wapo wadogo na wale wakubwa. Wanaweza kudalalia hata mambo ya hatari cha muhimu wamepewa ofa mezani. Nashauri ile kamati ya mheshimiwa rais kuhusu Corona ibaki siri/ ifanye kazi kwa...
  11. Hivi punde

    Udalali ndo kazi pekee inayolipa zaidi, rahisi na haina stress yoyote

    Kuwa dalali, hauhitaji kuwa na mtaji wa fedha, hauhitaji kuwa na madegree, haihitaji kudamka asubuhi kuwahi kazini, haina cha kupoteza, kazi tamu sana udalali. Mtu atakupigia simu mwenyewe, akikifanikishia swala la kupanga nyumba, jengo nk inabidi umlipe hell sawa na kodi ya mwezi mmoja...
Back
Top Bottom