Kuwa dalali, hauhitaji kuwa na mtaji wa fedha, hauhitaji kuwa na madegree, haihitaji kudamka asubuhi kuwahi kazini, haina cha kupoteza, kazi tamu sana udalali.
Mtu atakupigia simu mwenyewe, akikifanikishia swala la kupanga nyumba, jengo nk inabidi umlipe hell sawa na kodi ya mwezi mmoja...