udalali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri: Soko la Karume waangalie vibaka wanaojificha kwenye udalali hapo sokoni

    Ushauri kwa uongozi wa soko la ilala karume kuchukua hatua za haraka kuondoa watu wanaojifanya madalali wakiona mteja kukuchukua na kukupeleka kununua kitu yaani kwanza wasumbufu wengine wananuka pombe vibaka tupu waondolewe pale haraka hakuna mtu ujui unaenda kununua kitu gani ukiwa umetoka...
  2. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Buhongwa, Mwanza hakina udalali

    Kiwanja kinauzwa Buhongwa mwanza mita 800 tu kutoka stendi ya daladala buhongwa. Ukubwa ni Squaremeter 1200 Kiwanja ni tambalale na kipo barabarani kabisa, eneo limeendelea kwa makazi ya watu.... Huduma za umeme na maji zimefika. Bei Tsh. 18,000,000. Hakina udalali ongea na mwenye nyumba...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Corona ifanye kazi kwa siri, kuepuka madalali

    Hawa jamaa chenga kabisa! Ndugu yako akiwa dalali basi kuwa nae makini sana. Kazi ya udalali ina mapepo. Wapo wadogo na wale wakubwa. Wanaweza kudalalia hata mambo ya hatari cha muhimu wamepewa ofa mezani. Nashauri ile kamati ya mheshimiwa rais kuhusu Corona ibaki siri/ ifanye kazi kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Udalali ndo kazi pekee inayolipa zaidi, rahisi na haina stress yoyote

    Kuwa dalali, hauhitaji kuwa na mtaji wa fedha, hauhitaji kuwa na madegree, haihitaji kudamka asubuhi kuwahi kazini, haina cha kupoteza, kazi tamu sana udalali. Mtu atakupigia simu mwenyewe, akikifanikishia swala la kupanga nyumba, jengo nk inabidi umlipe hell sawa na kodi ya mwezi mmoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…