udanganyifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Shule 24 zafungiwa kuwa vituo vya Mitihani kwa udanganyifu

    Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limezifungia shule 24 kuwa vituo vya mitihani ya Taifa baada ya kuthibitika kupanga kufanya udanganyifu katika mitihani ya kumaliza elimu ya msingi. Shule hizo ambazo ni sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote vya mitihani nchini, ndani yake zipo shule maarufu...
  2. Allen Kilewella

    Uadilifu chanzo cha wizi wa mitihani na udanganyifu

    Taifa lenye watu wengi wasio na uadilifu ni kawaida sana kuwepo kwa wizi wa mitihani ama udanganyifu kwenye mitihani. Uadilifu ni zaidi ya mtu kutokuiba ama kusema uongo, uadilifu pia ni pamoja na mtu kujali maslahi ya wengi pale anapokuwa na cheo kwa niaba ya Umma. watu waadilifu wataweka...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Ukweli mchungu: Watanzania tumezoea udanganyifu kwenye vyumba vya mitihani. Kilichotokea Law school of Tanzania ni matokeo ya kuzoea udanganyifu

    Habari! Mimi niliona hili tangu 2006 nilipohotimu darasa la saba, Mwalimu mkuu alipigana sana kuhakikisha anawapa majibu wanafunzi wake indirect. Mimi sijapendezwa na ule mchezo, hakika sikushiriki. Niliona ni dhambi, pili niliona najiweza. Sekondari 2010 wakati namaliza O -level sijaona...
  4. BARD AI

    Donald Trump na familia yake washtakiwa kwa kudanganya kuhusu kodi na mikopo

    Donald Trump na watoto wake watatu wamefunguliwa kesi ya ulaghai baada ya uchunguzi juu ya kampuni moja ya familia hiyo. Inadaiwa kuwa walisema uongo "kwa mabilioni" kuhusu thamani ya mali isiyohamishika ili kupata mikopo na kulipa kodi kidogo. Waendesha mashtaka wanasema Shirika la Trump...
  5. mgt software

    Kupanda kwa bando kuathiri kilimo na ufugaji. Video call zilipunguza sana udanganyifu. TCRA msilichukulie poa

    Wana Jf. Wakati serikali ikijitahidi sana kuingiza fedha nyingi kwenye kilimo, makampuni ya simu yapo mstari wa mbele kuumiza matumiaji wa Internet kwa kuongeza gharama lukuki kila mwezi. Uwezi kumaliza mwezi kabla ya vodacom na airtel hazijapunguza vifurushi vya bando. Hii ni kudidimiza juhudi...
  6. Protector

    Udanganyifu wa free WiFi na full AC kwenye mabasi

    Mara nyingi mabasi mengi kama sio yote yana stika pembeni zikionesha huduma wanazotoa ni FREE WI-FI na FULL AC lakini ukiingia hakuna hata kimoja. Inawezekana wakati likiwa jipya lilikuwa na huduma hizo (kwa Wi-Fi) sina uhakika sana maana sijawahi kutumia hata siku moja hata kwenye basi jipya...
  7. Roving Journalist

    NECTA yaonya udanganyifu mitihani ya kidato cha 6 inayoanza leo Mei 9, 2022

    Watahiniwa 95,955 wa kidato cha sita wanatarajiwa kuanza mitihani ya Taifa leo Mei 9, 2022 na wakitarajiwa kumaliza Mei 27, 2022 ambapo washiriki wanatoka katika shule za sekondari 841 na vituo vya kujitegemea 250. Kuelekea kuanza kwa mitihani hiyo, Katibu Mtendaji wa Baraza za Mitihani la...
  8. M

    Kwanini Udanganyifu, Ujanja Ujanja, Uongo Uongo, Umejaa Sana kwenye Jamii Yetu?

    Fanya utafiti wako mdogo kwenye jamii jamii yetu utagundua kuna changamoto kubwa sana ya uaminifu karibu kwenye nyanja zote, kazini, kwenye biashara, mahusiano, siasa na hata kwenye masuala ya kiimani. Kiwango cha watu kuonesha udanganyifu, wizi, uongo, ujanja ujanja, ni kikubwa mno. Waajiri...
  9. Donnie Charlie

    Ngamia warembo waondolewa kwenye shindano kwa sababu za udanganyifu

    Ngamia 40 wameondolewa katika shindano la kumtafuta Ngamia Mrembo (Miss Camel Beauty) Saudi Arabia kutokana na udanganyifu ikiwemo kuchomwa sindano ya Botox ili kupunguza mikunjo na kuwafanya waonekane warembo zaidi. Shindano hilo ni moja ya shughuli katika Tamasha la Ngamia.
  10. Mkaruka

    Udanganyifu wa mitihani ya kidato cha nne unavyofanyika Kilimanjaro

    Afande RPC, so.1 op-officer & RCO Taarifa ya kufanya udanganyifu katika mtihani wa kidato cha nne tarehe 15/11/2021 Kamil:mkr/ir/1240/2021 (xx) ilani ya kwanza (xx) kosa: taarifa kufanya udanganyifu katika mtihani wa kitaifa kidato cha nne (xx) mnamo tarehe 15/11 /2021 saa 13:45hrs huko...
  11. Miss Zomboko

    Mwenendo wa kiasi cha makusanyo na matumizi yenye viashiria vya Rushwa, Udanganyifu na Ubadhirifu kwa miaka mitatu

    Katika uchambuzi wa ripoti za CAG za mwaka 2019/20, WAJIBU imeainisha maeneo yenye viashiria vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu wa fedha za umma. Kiasi ambacho aidha hakikukusanywa au kimetumika na Serikali pasipo kupata tija yoyote kimeongezeka kutoka TZS 232.52 bilioni mwaka...
  12. JituMirabaMinne

    Udanganyifu wakati wa kununua magari kwenye showrooms

    Hii Case nimeizoea kukutana nayo wa watu na huwa naichukulia kawaida ila leo nimeshangaa kuikuta kwenye moja wapo ya Showroom hapa Dar. Kikawaida gari nyingi tukitaka kuangalia mwaka ambao gari hiyo imetengenezwa huwa tunaangalia lebo iliyopo kwenye mkanda (yaani seat belt). Lakini it seems...
  13. Kasomi

    Mfahamu Charles Dunbar Rais wa 17 wa Liberia aliyeshinda Uchaguzi kwa udanganyifu wa viwango vya Juu katika historia

    Charles Dunbar Burgess King alikuwa rais wa 17 wa nchini Liberia aliyeshinda kwa kura za udanganyifu zaidi pia alikuwa mshiriki wa mkutano wa kwanza wa Pan- Africanism mwaka 1919 mambo ya muhimu yaliyojadiliwa katika mkutano huo yalikuwa ni mapambano ya waafrika dhidi ya utumwa na ukoloni...
  14. M

    Mfumo wa utoaji matokeo ya mitihani ubadilike, huu wa sasa unashawishi udanganyifu

    Hili ni suala la kisera linalohitaji utashi wa kisiasa. Kwa matokeo ya darasa la saba kwa mfano, kinachotakiwa ni alama na grade kwa kila mtoto maana ndicho kigezo kinachotakiwa ili mtoto aweze kuendelea na masomo au la na ndicho kipimo cha ufaulu wa mtoto. Kuhusu shule kupangwa ipi ya kwanza...
  15. Light saber

    Penzi la udanganyifu

    PENZI LA UDANGANYIFU. Ilinyesha kama haijawahi kunyesha hapo awali, siku ile ilikuwa ni ya kipekee. Nilionekana nadhifu na mtanashati ndani ya suti yangu nyeusi, na nilinukia kama mfalme. Sikutaka chochote zaidi ya kutegemea mazuri kutwa nzima. "Siyo mimi ni wewe" Nilipokea ujumbe kwenye simu...
  16. Analogia Malenga

    Simiyu: Mwalimu Mbaroni kwa kufanya udanganyifu mtihani wa la nne

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Msingi Shimbale Gaudensia Anyango (45) kwa tuhuma za kufanya udanganyifu wa mitihani ya Darasa la 4 kwa kuwachukua wanafunzi wa darasa 5 na 6 kwa ajili ya kuwafanyia mitihani wanafunzi wenzao 23 ambao ni watoro "Niwatake...
  17. Miss Zomboko

    Vigezo vinavyotumika kubainisha viashiria vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu

    Athari ya vitendo vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu ni pamoja na upotevu wa fedha za umma, wananchi kutokuwa na imani na serikali yao, kukosekana kwa utawala bora, uvurugaji wa bei ya soko kwa bidhaa mbalimbali na kupelekea wananchi kukosa huduma bora za kijamii. Katika Uchambuzi wa ripoti...
  18. eliakeem

    Kenya take the podium in the athletics doping contest

    KENYA NI YA PILI DUNIANI KWA UDANGANYIFU KATIKA OLIMPIKI Ushindi wao hau sisimui, hauheshimiki na wala kuaminika tena, maana wanajulikana kwa udanganyifu. Daily chart Russia and Kenya take the podium in the athletics doping contest The shadow of pharmaceutical cheating still blights the...
  19. beth

    Kauli za Rais wa Brazil kuhusu udanganyifu katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2022 kuchunguzwa

    Mahakama Kuu ya Uchaguzi Nchini humo (TSE) imefikia uamuzi wa kumchunguza Rais Jair Bolsonaro kutokana na kauli zake zinazodai kutakuwepo udanganyifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2022. Bolsonaro ambaye anatarajiwa kugombea muhula wake wa pili mwakani amekuwa akisema mara kwa mara kwamba mfumo wa...
  20. M

    Ajira za Walimu: Kigezo cha kujitolea ni kichaka cha rushwa, upendeleo na udanganyifu. Rais Samia kimulike

    Kumekuwa na upendeleo wa dhahiri katika ajira za ualimu kwa siku za hivi karibuni. Utakuta imetangazwa ajira ya waalimu wa hesabu na fizikia lakini majina yakitoka unakuta wa Biology wamo! Utakuta imetangazwa waalimu wanaotakiwa ni wale waliomaliza masomo mwisho 2017, lakini unakuta waliomaliza...
Back
Top Bottom