Sio kwamba Yanga wanabebwa ama wanapendelewa na hao waliodhaminiwa na GSM hapana, huu ujanja tunaoweza kubaini ni wachache sana.
Kuna siku Haji Manara alisema Yanga itabeba ubingwa mara 30 mfululizo msiposhtuka, alikuwa na maana yake kubwa, kwamba kwa mikakati waliyoiweka kwenye timu...
Kifurushi cha furaha ambacho tuliwaunga watani kimedumu Kwa wiki 3 na Leo kimekwisha
Yanga tumemfunga Simba mara nne mfululizo na Bado tutaendelea kumfunga hadi ifike mara 20+
Watani ambao wanaoshiriki mashindano ya akina mama ( Kaduguda)
Yaani timu zinazo shirikisho mashinda ya shirikisho...
Wakuu kwema!
Kama tunavyofahamu hapa jukwaani kumekuwa na mijadala tofauti tofauti kuhusu udhamini wa GSM na vilabu zaidi ya 7 kwenye Ligi ya NBC. Ambapo kuna wadau wa soka wanasema hii si nzuri na inawabeba Yanga zaidi kwa kuzingatia GSM ni Yanga na ni Mwanachama wa klabu hiyo. Lakini Pia ni...
Hawa mashabiki na viongozi ndo Huwa wanalalama eti Yanga anakuwa bingwa Kwa kuzifunga timu kwenye ligi Kwa sababu zinadhaminiwa na GSM
Sasa wao kila mechi kipigo
Wao watwambie kama GSM ashaanza kuwadhamini
Tengenezeni timu
Acha kulia
Leo mnalia refa
Mara kipa Camara kauza mechi
Zile 5 mlisema...
Salaam Big thinkers
Kwanza angalia hii picha vizuri kwenye nembo ya CRDB kwanini imewekwa BLACK
Then, watalamu wa Branding na marketing tusaidieni kujibu haya maswali.
1. Kwanini CRDB hajaweka green kama kawaida ameweka Black.
2. GSM na ukubwa wake wote still ameweka Black pia kwenye logo...
Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, imepongezwa kwa kuing’arisha Tanzania kitaifa, Afrika na kimataifa, kulikopelekea mkutano wa 8 wa Connect 2 Connect (C2C) Afrika 2024, kuja kufanyikia Tanzania, Hellios akiwa ndie mdhamini mkuu wa mkutano...
Nimerudia kuitazama mara tatu ile mechi kati ya Kaizer Chiefs vs Yanga mashindano ya TOYOTA Cup nimebaini kuwa Kaizer Chiefs haikuwa timu mbovu hata kidogo, ni makosa madogomadogo ya kukosa pumzi na muunganiko kuliko Yanga kulikosababisha Kaizer kuchapwa 4-0. Nabi hana kazi ngumu sana kuifanya...
Still dunia ina big brothers, Rutto alipokaribishwa meza kuu na NATO akasahau wachina wamewekeza mapesa mengi, na Russia inapigana na NATO..
Rais wa sasa wa South Africa ni pro western.
Dola milioni kadhaa wanayumbisha nchi, Non Allignment is the way to go.
Rutto pro western, Raila Pro...
Mambo vipi Wana Jf wakubwa kwa wadogo Natumaini wote wazima, mwenye changamoto yoyote MWENYE MUNGU ATASAIDIA,
Nije kwenye hitaji au dhumuni langu, nimepata changamoto kidogo upande wa kushoto chini ya mbavu tumboni kunauma sana na kuacha, pia muda mwingine mwili unawasha unakuwa unajikuna Kuna...
Mambo vipi Wana Jf wakubwa kwa wadogo Natumaini wote wazima, mwenye changamoto yoyote MWENYE MUNGU ATASAIDIA,
Nije kwenye hitaji au dhumuni langu, nimepata changamoto kidogo upande wa kushoto chini ya mbavu tumboni kunauma sana na kuacha, pia muda mwingine mwili unawasha unakuwa unajikuna...
Naangalia Mapinduzi Cup hapa Water Break wachezaji wanajimwagia na kunywa maji yamebanduliwa nembo. Kampuni za Maji mnalala sana. Changamkieni fursa ya kukuza biashara acheni ubahiri.
Wadau kwa wale wanao appeal loan, pale kwenye kipengele kinachohusu udhamini wa TASAF, pale mimi niki weka namba ya kitambulisho cha tasaf haikubali, msaada plz
TFF Imetangaza Kuingia Mkataba wa Udhamini na Kampuni ya Sandaland The Only one wa Utengenezaji na Usambazaji Wa Jezi za Timu za Taifa za Tanzania Wenye Thamani ya Tsh Bilioni 3 kwa Muda Wa Miaka mitano.
Jezi za Timu zote za Taifa zitahusika,Taifa Stars,Timu za Wanawake na timu ngazi zote za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kama ifuatavyo:
i) Amemteua Bw. Frank Kanyusi Frank kuwa Kabidhi Wasii Mkuu. Kabla ya uteuzi Bw. Frank alikuwa Mwanasheria Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.
Bw...
Habari wakuu,
Nikiwa kama mfanyabiashara ninayeanza kujikita katika hii tasnia huwa kuna hali inanijia kwa asilimia kubwa vitu ninavyokutana navyo huwa nahusisha sana na biashara.
Katika pilika zangu nikajikuta nachukia sana matangazo wanayofanya NBC kwenye udhamini wa ligi yaani hayaakisi na...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Tabia Maulid Mwita (katikati waliosimama) akishuhudia utiaji saini wa mkataba wa ushirikiano wa kibiashara na udhamini kwa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Zanzibar (Zanzibar Heroes), kati ya Benki ya CRDB...
Kama kila Mwanasheria / Wakili akienda tu Hewani Kuongea katika Redio na Runinga kuhusiana na Sakata la Yanga SC na Mdhamini Mkuu wao Kampuni ya Sports Pesa anasema lwake huku Wengine wakijichanganya kabisa kwanini tulilalamika na tunalalamika wanaosoma Law School of Tanzania Kufeli sana tofauti...
Labda mimi mwenyewe ndio sijaelewa vizuri leo wakati mapato na matumizi yakisomwa wanasema udhamini wa m.bet ni b.2.5 kwa mwaka ndiyo wanayopewa wakati thamani ya mkataba waliyowatangazia wanachama wao ni b.26, Sasa inakuwaje wanapewa b.2.5 kwa mwaka wakati walitakiwa wapewe b.5.2 kwa mwaka kwa...
Dah! Wale Waarabu wamejua kutupa tabu hii wiki na miaka mingine mingi.
Imagine kwa haya matokeo tulikua tunaambiwa Uto mechi za ugenini wanashinda.
Imagine leo na kuendelea jinsi hali itakavyokua ni huzuni sana tutaambiwa haikuwahi kufungwa kabisa ugenini. Sijawahi ona waarabu hovyo kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.