Timu yetu ya Wanawake, @simbaqueensctz leo imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiri ya @mbet_tz wenye thamani ya Tsh. bilioni moja.
Simba Queens itaanza kutumia jezi zenye nembo ya M-Bet kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake.
Hii ndiyo...
Habari,
Poleni na majukumu, mimi ni kijana ninae hitaji kusoma kwa level ya chuo na nimepata nafasi ya kuchaguliwa WATER INSTITUTE (Bachelor of water resources and irrigation engineering) ambapo ada kwa mwaka mzima ni 1670000 Ninashindwa kulipa Ada ya chuoni ili niweze kusajiliwa
Ninaomba...
Ligi Kuu ya Tanzania Bara mdhamini wake mkuu ni ni Benki ya NBC ambaye amechukua jina kabisa la ligi hiyo ikiitwa Ligi Kuu ya NBC.
Upande wa pili kuna Championship au Ligi Daraja la Kwanza ambayo huwa inatoa timu zinazopanda daraja kwenda kucheza katika Ligi Kuu.
Swali au hoja ambayo nilikuwa...
Naaaam, sasa hii ndio maana halisi ya Udhamini
Maana halisi ya usimamizi wa Soka letu
Maana halisi ya kujali vipaji vya vijana wetu.
Kuna wazee wengi nilishuhudia hasa nikiwa Zanzibar ambako binafsi ninaamini ndiko kilipo kisima cha vipaji vya hali ya juu vya soka, mzee mmoja alimzuia kijana...
Amini usiamini hawa jamaa wanadai ni kampuni iliyoko serious na ilikuwa inataka kufanya kazi na simba ili biashara yao itangazwe..anyway sishangai sana maana wao hata kuikongoroa logo ya NBC hawakuona shida wanenda kisela mno, vuluvululu.
Embu soma upuuzi huu ulioandikwa na mpambe/afisa wa...
FCC malalamiko yalifikishwa kwenu sikuy nyingi hawa jamaa wakanusa hatari ya ripoti yenu wakakimbia haraka kama nguchiro na mkia katikati ya miguu yao.
TUNATAKA MAJIBU YAWEKWE HADHARANI ili iwe onyo isijirudie tena siku nyingine kwa matapeli ya soka mengine kujitokeza yakishirikiana na TFF...
1. Ni kwanini mlianza Kudhamini kabla ya Kuingia Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021?
2. Kama mliingia rasmi Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021 ni kwanini mpaka hii Leo mnasitisha nao Mkataba hamjawalipa Pesa ya Awali na hata Vilabu vyote husika (ukiiondoa Simba SC yenye Akili na Watu...
Kampuni ya GSM imetangaza kujiondoa katika udhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, hiyo siyo habari mpya kwa sasa, lakini kilichopo nyuma ya pazia na sababu kubwa ni wapinzani wao wa jadi Simba kugoma kuunga mkono juu ya udhamini huo.
Mara baada ya TFF kutangaza udhamini huo, kisha ikaelezwa...
Kampuni Ya GSM, Leo Tarehe 07/02/2022 imetangaza kujiondoa Kwenye Udhamini Mwenza Wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Ikimbukwe kuwa Kampuni Ya GSM iliingia Makubaliano Ya Kuidhamini Ligi Kuu Tanzania Bara Na Kuweka Dau la Bilioni 2.5.
Lakini Udhamini Huo Ulipingwa Vikali na Simba Sc huku Vilabu...
Naitwa Hussein Masoud,ni clinical assistant (CA),nipo Mwanza mjini katika chuo cha afya na sayansi shirikishi BWIMA kilichokua kikitambulika kama victoria zamani, kwa sasa nimebakisha mwezi mmoja nifanye mitihani yangu ya kuhitimu diploma in clinical medicine level 6 itakayo fanyika February...
Tume ya Ushindani wa Biashara (FCC) imesema imepokea malalamiko kutoka kwa wadau wa mpira wakiitaka kuchunguza udhamini uliofanywa na kampuni ya GSM kwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania kama hautaathiri ushindani wa soka nchini.
Wadau hao wamewasilisha malalamiko yao kwa maandishi ndani ya tume hiyo...
Klabu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam na shirika la ndege Tanzania, ATCL zimeingia mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya takribani milioni mianne.
Katika makubaliano hayo, Shirika la ndege ATCL litakua ndio mshirika rasmi wa klabu ya Simba katika masuala ya safari za anga za ndani na nje...
Wakuu naomba kwa yeyote anae fahamu ikiwa ni mtu binafsi, shirika, taasisi ama kampuni inayodhamini watu elimu ya chuo kwa mashart nafuu especially ktk masomo ya sayansi naomba kujuzwa TAFADHALI.
Heshima kwenu wakuu...
Moja kwa moja niingie kwenye mada husika. Kumekuwa na mkanganyiko kati ya uwekezaji uliofanywa na Mo pale Simba na udhamini uliofanywa na Azam kwa wanandinga wa Jangwani.
Sisi wa Buhigwe kitu kinachotuchanganya ni kuwa ina maana Mo ataimiliki simba maisha kwa hiyo 21B...
Habari zenu wakubwa,
Kwasasa soka la Africa mashariki linainuka kwa kasi sana angalau sasa wadhamin wanaweka pesa ya maana. Mfano kwa hapa Tz giant Yanga kaingia mkataba mnono na kampuni ya Azam media kwa engagement ya kurusha shughuli za yanga like mazoezi
Mahojiano ya wachezaji wa Yanga...
Wakuu,
Kama kuna anayefahamu kuhusu taasisi, jumuiya au hata shirika linalojihusisha na udhamini wa wanafunzi wa elimu ya juu anisaidie nina shida ya udhamini.
AHSANTE
Kama kichwa kinavojieleza hapo, Kwa taarifa zilizotolewa na serikali katika kudhamini hayo mafunzo ilikuwa mafunzo yaanze kesho tar 17 May 2021. Lakini mpaka sasa walioomba hawajapewa feedback zozote na tarehe 17 ni siku ya kesho.
Sasa sijui wanalichukuliaje hili swala?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.