Mambo vipi Wana Jf wakubwa kwa wadogo Natumaini wote wazima, mwenye changamoto yoyote MWENYE MUNGU ATASAIDIA,
Nije kwenye hitaji au dhumuni langu, nimepata changamoto kidogo upande wa kushoto chini ya mbavu tumboni kunauma sana na kuacha, pia muda mwingine mwili unawasha unakuwa unajikuna...