Wengi ni mashahidi jinsi magari ya umma hasa za Serikali yanavyoendeshwa kwa kasi bila hatua yeyote kuchukuliwa. Magari kama V8, Landcruiser hardtop yanaendeshwa kwa spidi inayozidi kilomita 200 kwa saa huku askari wa barabarani akisimama pembeni mwa barabara na kuangalia tu na hata kuipigia...
Kirusi kipya cha Omicron kilisababisha ongezeko la maambukiziImage caption: Kirusi kipya cha Omicron kilisababisha ongezeko la maambukizi
Kituo cha uchibiti na kuzuwia magonjwa cha Afrika (Africa CDC), kimesema sheria kali ya kukaa nyumbani au ‘lockdown’ sio tena njia bora ya kukabiliana na...
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imekasimishwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto jukumu la kudhibiti bidhaa za tumbaku kuanzia tarehe 30 Aprili, 2021 kupitia Tangazo la Serikali Na. 360.
Kifungu cha 12 cha Sheria ya Udhibiti wa Bidhaa za Tumbaku, Sura 121...
Mheshimiwa Rais Chokambaya Bin Mwaminifu wa Jamhuri-ya-Mazuzu amefanya uamuzi mgumu kwa nia ya kuokoa fedha za serikali yake katikati ya upinzani mkali wa wadau wa sekta ya ukandarasi. Katika kikao cha Baraza la Mawaziri, alitangaza uamuzi wake huo kama ifuatavyo:-
Ili kudhibiti matumizi ya...
Naiomba serikali ituruhusu tulime bangi Ila tuuze nje Mimi ni mkulima wa mahindi na mpunga Nina jumla ya hekta 290 Ila za mahindi ni 150.
Kilimo cha mahindi kimenitia hasara Sana na kwa mwaka huu mbolea imepanda mno mfuko wa kilo 50 unauzwa laki na ishirini nahisi naenda kufilisika.
Ila...
Ndugu yetu Simbachawene, inaonekana majukumu yako yamekushinda, sasa hivi umerukia utoaji wa maoni ya wananchi mitandaoni.
Ungetuonyesha kwanza ukamilikaji wa vitambulisho vya taifa kwa wananchi wote wenye kustahili, kisha ndio utake kuwafurahisha hao waliokuwa cheo kwa kudhibiti maoni ya...
Hali ya bei za bidhaa inadhidi kuwa tete.
Bei ya petrol, dizel imeongezeka kwa kiasi kikubwa. Zaidi ya sh 40 kwa lita.
Bei ya mafuta ya kula lita 5 kwa 50,000.
Yaa 10,000 kwa lita.
Kama inawezekana hata jeshi la polisi litumike kama ambavyo imewezekana sehemu tofauti.
Nakumbuka msako wa...
UCSAF YATAKIWA KUDHIBITI MFUMO WA TARATIBU ZA MANUNUZI NA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA TEHAMA MASHULENI
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew ameitaka taasisi ya mawasiliano ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kuimarisha na kusimamia ipasavyo taratibu za...
JF nawasalimia kupitia jina la jamhuri,
Nachukua nafasi hii kuleta nasaha zangu kwenu ikiwezekana serikali izipate.
Kuna jambo ambalo nimewaza ni kwanini vitu huwa vinapanda bei bila mpangilio nikagundua kuwa kuna shida kwenye wasimamizi wa bishara.
Kwenye wizara ya viwanda inatakiwa ipitie...
Posa ni kitu chenye thamani ambacho hutolewa katika familia ya mwanamke na kundi la watu wenye lengo la kuthibitisha uwepo wa ndoa kutoka kwa mwanaume.
Katika karne hii ya 21, kundi la wazandiki wa kindoa hutumia mwanya huo kutokana na sababu za wanawake wenye msimamo kutokukubali kuingiliwa...
Wakuu habarini za machweo.
Kwa muda mrefu nimeona utitiri wa hizi mbio zinazoitwa za marathon ambazo zimeibuka kwa kasi sana kipindi.
Sina upingamizi na hizi mbio zao ila ninachotaka kukisema ni kwamba regulation ya hizi marathon is very important.
Zinaendeshwa chini ya mamlaka gani na kwa...
Hivi karibuni na hata siku za nyuma tumeshuhudia malumbano kati ya wamiliki wa mabasi ya abiria kwa upande mmoja na serikali (Polisi, Sumatra) kwa upande mwingine juu ya ulazima wa kufunga vidhibiti mwendo (Speed Governor) kwenye mabasi.
Wamiliki wa mabasi wanasema speed governor hazijasaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.