Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amewakosoa vikali wanasiasa na viongozi wa Afrika kwa tabia yao ya kung'ang'ania madaraka kwa maslahi binafsi.Akizungumza katika kikao cha kujadili masuala ya demokrasia barani Afrika katika Kitivo cha Sheria, Chuo Kikuu cha...
Historia imejaa mifano ya mataifa yaliyoangamizwa si kwa vita vya nje, si kwa mafuriko wala matetemeko, bali kwa sumu ya uchawa. Wananchi walioshindwa kuhoji mamlaka, waliobadili akili zao kuwa mashine za kushabikia kila amri bila swali. Walisherehekea wakinyamaza, huku nchi zao zikiteleza...
Kila siku wapinzani hasa wana CHADEMA huchukizwa pale viongozi wake wanapowekwa selo kwa makosa madogo madogo au kwa makosa ya kusingiziwa.
Lakini si mara nyingi tukiona wapinzani wakilaani udikteta wa Mbowe kukaa kwenye kiti kwa zaidi ya miaka 20.
Ina maana hakuna mtu mwingine mwenye maono au...
Huu uchaguzi kufanyika vibaya na udanganyifu wa maridhiano umemaliza enzi za sasa za nchi yetu kutokujielewa. Kama nchi Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa udanganyifu na uongo uongo.
Sasa baada ya haya utakuja muda wa Watanzania kulazimishwa kuchagua kwa vitendo mfumo mmoja kati ya haya...
Bandugu, msomi mwenye degree 15 Prof. Tibaijuka amekuja na hoja ya mgombea binafsi katika chaguzi zetu. Prof amejenga hoja kwamba kulazimisha watu kujiunga na vyama vya siasa ni udikteta wa kivyama na hasa CCM kama chama tawala.
Prof anatolea mfano wa magwiji wa demokrasia duniani, Marekani...
Je utamaduni wa uoga, unafiki, rushwa na kupenda kutukuzwa aka uchawa ni sababu inayo kwamisha maendeleo yetu. Katiba mpya ambayo ingeleta uchumi imara na demokrasia
Naona Firstpost hawataki mchezo.
Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba.
Asipoangalia na kujirudi ataishia kuwekwa kwenye kundi moja na akina Sheikh Hasina...
Hii habari ambayo inawataka wanasiasa wapeleke hotuba zao wazipitie kabla ya kuzitoa kwenye majukwaa, inania ya kukomaza demokrasia au kuifuta demokrasia?
Wakati ambao dunia inabadirika kwa kasi katika siasa, uchumi, afya, elimu na technolojia, jamii yetu inahangaika kupambana ili kuhakikisha kila mtu anaishi maisha bora na maendeleo yanapatikana kwa kila mmoja. Lakini, juhudi hizi zinarudi nyuma kutokana na changamoto kubwa ambazo jamii inapitia...
Spika anasema kwa mujibu wa kanuni ni kuwa mbunge akimtuhumu mbunge mwingine ni lazima siku hiyo hiyo au nyingine awasilishe vielelezo vyake kwa spika na spika atapelekea kwa kamati ya maadili ambayo spika ataichaigua yeye na kuipenda kama sheria na kanuni za bunge zilivyompa mamlaka spika...
Hakika wananchi wa Burkina Faso wanabubujikwa na machozi kwa rais mzalendo waliyenpata🙂.
Ndani ya muda mfupi Ibrahim Traore ameonyesha kwa vitendo nia yake ya kuikonboa nchi yake kutoka kwenye umaskini.
Ameanza ujenzi wa refinery kubwa ya dhahabu yenye uwezo wa kusafisha tani 150 kwa mwaka...
Tungali tunaendelea na ule mwezi mtukufu wa Mungu , ambao ni mwezi huu wa 3 , fuatilia simulizi hii ya Nyalandu
Pamoja na ukweli kwamba Nyalandu alirejea ccm baada ya Jiwe kuondoka , lakini bado Ukweli uko wazi kwamba ndiye Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa kishamba wa Jiwe hadharani ...
Toka uhuru mpaka sasa tumetawaliwa na mfumo wa chama kimoja, na bado watu wanaita ni Nchi ya Demokrasia.
Uchaguzi unaofanyika Nchini ni kama bosheni tu, na uchaguzi halali ni ule unaofanyika katika kamati kuu ya chama tawala kumpitisha mgombea. Mgombea akishapitishwa na chama tawala tayari huyo...
Kwamba licha ya Nyerere kuwa na mapungufu mengi, kumtangaza mtakatifu ni jambo ambalo litakuwa kikwazo zaidi kwa watu kuliko kuwa chachu ya maisha ya utakatifu. Kwanini msisubiri miaka 200 ipite ili watu wote wanaomjua "Nyerere wa kweli" wawe wamefariki ili kusiwe na scandalization yoyote kwa...
Ukweli usemwe Rais SSH hana baya saana ukilinganisha na yule, mkatili wa kihistoria nchini Tanzania.
Hakuna asiyekumbuka mikwala ya Magufuli kwa wakurugenzi kuhusu uchaguzi na kuwatisha kumtangaza Mpinzani kama mshindi, ni wapumbavu tu ndio wataamini Professor J, Zitto, Mnyika, Sugu, Heche...
Ugaidi ni nini?
Ugaidi ni kule kuharibu Mali za watu, kujeruhi na kuua raia wasio na silaha makusud ili kufanikisha malengo ya kisiasa au kimrengo. mfano Al qaida, Harakat Al shababu Al mujhedn
Udikteta.
Ni kule uongozi unaoshika madaraka mahali kukataa kufuata sheria kwa makusud kabisa, hivyo...
Kwanza wamenibadilishia mita bila ya kunijulisha mteja wao, pili dharau kejeli na uongo nilipowasiliana nao, tatu ahadi za uongo, inne huduma mbovu.
Majina ya customer care ninayo, muda na namba na tiketi za report ninazo, namba za simu za mafundi walioniahidi wanakuja ndani ya saa 24 ninayo...
Tukumbushane tu...,
Sisemi kwamba hili linatokea Sasa lakini Kutumika kwa Rasilimali Fedha na Muda kwenye Maigizo ya Demokrasia au Kutumia Pesa kwa Propaganda, ni bora Muda na Pesa hizo zikatumika kuleta maendeleo kwa Wananchi wanaojua Demokrasia haipo (Maigizo yana Gharama isiyo na Tija...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.