udikteta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyankurungu2020

    Kupiga vita ufisadi sio udikteta. Leo hii ikulu Chamwino imekamlilika, Umeme toka JNHPP utaanza kuzalishwa. Daraja la busisi je?

    Mlisjisahau mkadhania kupiga vita ufisadi ni udikteta . Mkabakiza kashfa na maneno yasiyo na tija eti Megastructures hazina faida. Leo hii mnakatiza wami. Soon mtakatiza busisi. Na ndio msingi mkuu wa kupiga vita ufisadi
  2. Kamanda Asiyechoka

    Joseph Mbilinyi: Prof Kabudi ashitakiwe kwa kulidanganya taifa juu ya tril 360. Aliunga mkono udikteta enzi za hayati

    Sugu ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter "Kwa jinsi hii, huyu mzee anatakiwa awe ‘held accountable’ kwa kulidanganya Taifa kama anavyokiri hapo… Huyu mtu ana rekodi ya ovyo sana serikalini na ni mmoja wa watu waliokuwa wakichochea udikteta (Henchmen) kwenye awamu ya Mwendazake…" Na...
  3. S

    Nakusudia kuandika kitabu kuelezea UDIKTETA wa Magufuli

    Niko ktk harakati za kuandika kitabu kitakachoelezea madhila ambayo Taifa letu limepitia kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 (Novemba 2015-March 2021). Kitabu hiki kitaelezea mateso na ukandamizaji watanzania waliopitia ktk kipindi hiki chini ya utawala wa rais Magufuli. Na nikishauza kopi za...
  4. Miss Zomboko

    Askofu Frederick Shoo: Viongozi wa dini wanapaswa kutoegemea upande mmoja wa siasa kwa kuwa watu wa vyama vyote ni waumini wao

    MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Frederick Shoo, amekemea vitendo vya kupigwa na kudhalilishwa kwa baadhi ya wagombea hasa wanawake katika kampeni za uchaguzi na kutahadharisha kuwa iwapo vitendo hivyo, vikiaachiwa viendelee vitahatarisha amani. Sambamba...
  5. sky soldier

    Alichofanyiwa Shaffih Dauda ni udikteta, nimeambatanisha post ya Shaffih iliyowatibua madikteta

    Binafsi ni shabiki wa Yanga na linapokuja imapokujaga ishu ya kumtathmini Shaffih huwa hauhitaji degree kujua kwamba ni shabiki wa Simba na mapenzi yake ya simba yanaleta mgongano wa maslahi katika kazi yake ya uchambuzi, mzani wake katika uchambuzi unapoegemea upande flani hapo ndipo anapotoka...
  6. DaudiAiko

    Vyama vya Upinzani, kubalini kwamba sio udikteta wote ni mbaya

    Wanabodi, Inabidi tusome nyaraka za wakati katika kipindi ambacho wapinzani wanaishiwa nguvu. Labda kupungua kwa ushawishi wa vyama vya upinzani umesababishwa na chama tawala. Vile vile labda sera zao zimepitwa na wakati. Maoni mbali mbali kuhusu harakati za vyama vya upinzani yametolewa...
  7. Yericko Nyerere

    Tukiacha ushabiki wa kivyama na Unafiki, Hoja ya Spika haijajibiwa

    Tukiacha ushabiki wa kivyama na kujipendekeza (unafiki), Licha ya kila mtu kujitokeza kujaribu kujibu hoja ya Spika Ndugai ama kuizungumzia hoja hiyo, na hata Serikali (Rais) ameitisha mkutano wa kidola nikidhani anajibu hoja, badala yake wamejikuta wanamjadili Ndugai ama kumdhihaki ama...
  8. Idugunde

    Kama kwa zaidi ya miaka ishirini katiba ya CHADEMA imeruhusu ufisadi na udikteta, kwa nini hamtaki kuibadili ili muwe mfano?

    Charity begins at home. Sasa kama katiba yenu ina madudu makubwa kiasi cha kiongozi wa chama akitafuna bil 8 kwa kujilipa madeni hakuna wa kumhoji, kwa nini msianze nayo ili muonyeshe mfano wa mabadiliko? Haya pamoja na hilo mbona kuna kuwa na uongozi usiokuwa na ukomo wa mwenyekiti? Na mtu...
  9. M

    Spika Ndugai hamia CHADEMA, CCM kuna udikteta na hawapendi kukosolewa

    Jiulize kama mkuu wa bunge na mhimili unaopaswa kujitegemea kuisimamia serikali umefanya kosa gani? Kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 ambao unatumika kujengea madarasa na vyoo. Wewe unasimamia Bunge na linatakiwa kuwa imara ili kuisimamia serikali. Sio Bunge linalodharaulika kama Prof Assad...
  10. IslamTZ

    Hatuchukii udikteta, tunachukia tunapofanyiwa sisi

    Leo nimepitia makala iliyopo mtandao wa Chanzo ikijadili malumbano yaliyojaa matusi, kashfa na kudhalilishana kati ya Chadema na ACT. Inapatikana HAPA Aya moja inasema: "Lakini katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi, mnyukano huu wa maneno kati ya makada wa ACT-Wazalendo na CHADEMA...
  11. Erythrocyte

    Maneno ya Mwl. Nyerere kuhusu Udikteta ambayo viongozi wa sasa Tanzania wanayakwepa

    Hebu na wewe sasa utoe maoni yako ili yaingizwe moja kwa moja kwenye kumbukumbu ya kifo chake
  12. Zitto

    Tanzania imetimiza hatua zote 4 kuwa nchi ya kidikteta

    Dikteta huchukua hatua kadhaa kupandikiza utawala wa Imla - Zitto Kabwe (Andiko la July, 2016 na uhariri kidogo 2018. Uhariri tena mdogo Jan, 2019 ) Hupambana na Wafanyabiashara wakubwa ' matajiri ' ili kuweka matajiri wake wapya watakaokuwa msaada kwake. Rais Putin wa Russia alifanya hili...
Back
Top Bottom