Wakati ambao dunia inabadirika kwa kasi katika siasa, uchumi, afya, elimu na technolojia, jamii yetu inahangaika kupambana ili kuhakikisha kila mtu anaishi maisha bora na maendeleo yanapatikana kwa kila mmoja. Lakini, juhudi hizi zinarudi nyuma kutokana na changamoto kubwa ambazo jamii inapitia...