Maana ukiitazama chadema kwa haraka utadhani ni nyumba ya ibada au dhebebu Fulani la dini.
Uongozi wa kitaifa mpaka kwenye majukwaa ya kisiasa, udini unajidhihirisha wenyewe kabisa bila kificho.
Ukianza kutazama kiongozi mojamoja kuanzia ngazi ya kitaifa utakubalina na mimi kwamba huenda chama...