Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Maana ukiitazama chadema kwa haraka utadhani ni nyumba ya ibada au dhebebu Fulani la dini.
Uongozi wa kitaifa mpaka kwenye majukwaa ya kisiasa, udini unajidhihirisha wenyewe kabisa bila kificho.
Ukianza kutazama kiongozi mojamoja kuanzia ngazi ya kitaifa utakubalina na mimi kwamba huenda chama hiki ni cha dini au dhehebu fulani la kiimani.
Wapo viongozi wachache kadhaa, mathalani kutoka Zanzibar ambao kwa uchache wao imeshindikana kabisa kubadili sura ya kidini inayoonekana na kujidhihirisha bayana chadema.
Kuna muda chadema inajivika utakatifu wa usahihi wa kila kitu wanacho amini wao kinafaa kwa wote kulingana na itikadi ya dini yao, kanakwmba kinafaa hata kwa wasio husika na chama chao cha siasa chenye sura ya dhehebu fulani la kidini.
Halafu sambamba na utakatifu huo, sura ya miheko na matusi mazito mazito ya wafuasi wa chadema huibuka kutetea jambo hilo kwa kuporomosha matusi, kanakwamba huo ndio mtindo wa imani yao kujibu masuala mbalimbali, hususan pale yanapoibuka maoni na mitazamo tofauti na wanachokiamini wao.
Je,
hali hii inaweza kua ni sababu ya Chadema kupoteza ushawishi, uungwaji mkono na kupoteza uelekeo wake kisiasa nchini?
Na unadhani,
ni kwanini wanachama, mashabiki na wafuasi wa wa chadema, hawawezi kujibu au kujadili hoja kinzani na mtazamo wao bila mihemko au kuporomosha matusi?
check mapovu kwenye comments kuthibitisha hilo 🐒
Mungu Ibariki Tanzania