PreGE2025 CHADEMA ifanye nini kuondokana na sura ya udini na ushari iliyojivika?

PreGE2025 CHADEMA ifanye nini kuondokana na sura ya udini na ushari iliyojivika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kosa lao kubwa awa nyumbu kumvua U wenyekiti Kiongozi mwenye Uwezo Uwelewa maono mkubwa kwenye matukio ya Kisiasa !!!
Si mlikuwa mnamwita Mbowe sultani na anaendesha chama kama mali yake binafsi. Leo inakuwaje useme kutochaguliwa kwake CHADEMA tulikosea?
 
ngoswe,
tafadhali sana hebu relax kidogo,

mjadala huu ni muhimu sana kwa maslahi mapana na nusura ya chadema kukimbiwa na watu wa dini zisizothaminiwa ndani ya chama hicho.
Ni vizuri kujikita katika kuisaidia chadema bila mihemko:NoGodNo:
Sisi sote tu Tanzania itikadi zetu za vyama zisababishe mijala ya kidini.
Vyama ni kama clubs za mpira huyu anapenda hii na huyu hii.
Katika ushabiki huo kila mmoja ana dini yake.

Sasa tukisema kwa kuwa Goal Keeper ni dini fulani na mara kwa mara tumemuona akishiriki katika makongamano ya dini hiyo, basi hata Team yake ni wa dini yake? Hapana!

Angalia vitu vingine lakini si kuingiza udini katika siasa.
 
ofcoz muonekano, sura na structure ya chadema kwa ujumla inaonyesha udini mtupu gentleman,
unashauri nini chadema iondokane na sura hiyo kwa umma gentleman?:NoGodNo:

Serikali ya zanzibar ina structure gani? Na unaishauri nini? Wewe kama next mbunge wa ccm?
 
Maana ukiitazama chadema kwa haraka utadhani ni nyumba ya ibada au dhebebu Fulani la dini.

Uongozi wa kitaifa mpaka kwenye majukwaa ya kisiasa, udini unajidhihirisha wenyewe kabisa bila kificho.

Ukianza kutazama kiongozi mojamoja kuanzia ngazi ya kitaifa utakubalina na mimi kwamba huenda chama hiki ni cha dini au dhehebu fulani la kiimani.

Wapo viongozi wachache kadhaa, mathalani kutoka Zanzibar ambao kwa uchache wao imeshindikana kabisa kubadili sura ya kidini inayoonekana na kujidhihirisha bayana chadema.

Kuna muda chadema inajivika utakatifu wa usahihi wa kila kitu wanacho amini wao kinafaa kwa wote kulingana na itikadi ya dini yao, kanakwmba kinafaa hata kwa wasio husika na chama chao cha siasa chenye sura ya dhehebu fulani la kidini.

Halafu sambamba na utakatifu huo, sura ya miheko na matusi mazito mazito ya wafuasi wa chadema huibuka kutetea jambo hilo kwa kuporomosha matusi, kanakwamba huo ndio mtindo wa imani yao kujibu masuala mbalimbali, hususan pale yanapoibuka maoni na mitazamo tofauti na wanachokiamini wao.

Je,
hali hii inaweza kua ni sababu ya Chadema kupoteza ushawishi, uungwaji mkono na kupoteza uelekeo wake kisiasa nchini?

Na unadhani,
ni kwanini wanachama, mashabiki na wafuasi wa wa chadema, hawawezi kujibu au kujadili hoja kinzani na mtazamo wao bila mihemko au kuporomosha matusi?

check mapovu kwenye comments kuthibitisha hilo 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
mashekhe wako bize kumuombea saa100
 
Serikali ya zanzibar ina structure gani? Na unaishauri nini? Wewe kama next mbunge wa ccm?
Gentleman,
mbona unahamisha magoli kinyonge sana kamanda?

mimi kama kiongozi wa wanainchi natumai wadau wa JF watafaidika zaidi na maoni yako dhidi ya namna ambavyo chadema inaweza kujinasua kutokana na sura ya udini iliyonayo kutoka uongozi wa kitaifa hata wanachama wa kawaida 🐒
 
Back
Top Bottom