uefa super cup 2024

  1. Greatest Of All Time

    Full Time: Real Madrid 2-0 Atalanta | UEFA Super Cup | Poland National Stadium | 14.08.2024

    Leo saa 4:00 Usiku kwa masaa ya Afrika ya Mashariki, kutakuwa na pambano la Uefa Super Cup katika dimba la taifa la Poland. Bingwa wa Uefa Champions League atamenyana na bingwa wa Uefa Europa League. Real Madrid Vs Atalanta Dunia inaenda kumshuhudia Mbappe kwa mara ya kwanza akiwa ndani ya...
Back
Top Bottom