Wakuu habari za mda huu hili jambo nimelifiliria nikaona ni tatizo kubwa sana ambalo limetengenezwa kwenye jamii kwanini tunafundishwa kuogopa mgonjwa wa ukimwi ?
Yaani mtu akigundua unafukuzia mtu mwenye ukimwi utatishwa mno kuwa pale sio utaingua je wenye maambukizi hawapaswi kuoa au kuolewa...