Usiku wa jana nilikuwa na furaha isiyo kifani. Jambo hili limeniumiza kichwa kwa muda mrefu hatimaye kwa kudra za Mwenyezi Mungu, usiku wa jana nimeweza kulisolve.
Sasa wanufaika wote wa mradi huu kaeni mkao wa kula. Jambo hili nililolibuni likiwekwa kwenye utekelezaji, 90% ya changamoto za...
Mimi nashangaa kuendelea kuchagua wanasiasa kuendesha mashirika kama haya. Ushauri wangu ni kutangezwe zabuni maalumu za uendeshaji tu.
1. Kila kampuni ije na mpango wake wa miaka mitano.
2. Jinsi ya kulipwa iwe kutokana na faida.
3. Mradi unatakiwa kujiendesha wenyewe na kutenga pesa kila...
Siyo siri, katika Awamu ya Tano iliyopita Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama viliingiliwa kiutendaji kiwazi wazi.
Hii inaweza leta athari kubwa sana lisipokabiliwa mapema. Tunaona sasa hivi kwa mfano hao vijana wa JKT walioahidiwa ajira utafikiri wanaajiriwa kiwandani.
Kucheza na hivi vyombo...
Wanandugu, naombeni msaada tafadhali.
Mimi ni kijana mwenzenu nimebahatika kuchanga pesa zangu na nimefanikiwa kupata milioni moja na nusu; nataka kufungua biashara ya kuonesha mpira kwa jijini Dar (hasa mpira wa Ligi Kuu ya Uingereza). Je, vipi ni biashara nzuri kufanya au niachane nayo...
Nataka nianzishe biashara ya kuchezeshaa game aina ya playstastion ila kabla sijaanza inanibd nifanye utafiti kuhusu biashara. naomba kwaa aliye na uzoefu na hilo aniambie faida na hasara zake.
WADAU WANAOHITAJI MUONGOZO KUHUSU BIASHARA HII
MAJIBU NA MICHANGO YA WADAU
Hi to everyone, and hope you're doin fine.
Nimefikiria kuwa na mradi wa uoshaji magari sambamba na huduma ndogondogo nyingine kama pressure n.k badala ya kutojishughulisha kabisa.
Ni mradi mdogo ila nimeupenda kwani is a free risk and have low operating cost as generally nahjtaji kuwa na:
1...
Jamani mimi nina chaneli ya high quality mbao (zilizokatwa na ambazo bado hazijakatwa) for export toka nchi jirani. Documents na leseni zote zipo. Nafikiria masoko ya Far East na Middle East. Hivyo UAE, SAUDIA, IRAN na kule Malaysia, Vietnam na kadhalika ndio nakutaka.
Je, kuna mtu anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.