Mmiliki wa Kampuni za GSM, Ghalib Said Mohamed ametangaza kujiuzulu nafasi ya kuwa Mwenyekiti na Mjumbe wa Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars.
Hayo yamesemwa na Afisa Biashara Mkuu wa GSM, Alan Chonjo ambaye amezungumza na wanaandishi wa Habari leo Jumatatu Februari 7, 2022.
Ameeleza kuwa Ghalib...
Kwa jicho la kawaida sana nakiona hiki hakina maisha marefu. Kina mtaji mkubwa wa wanachama kule Zanzibar lakini kwa siasa anazofanya kiongozi wake mkuu, sioni kabisa maisha marefu ya chama hiki. Anataka kutumia usanii katika kukiendesha chama hawezi kufika mbali.
Huwezi kuwa mstaarabu kwa...
Kuna habari za chini ya kapeti kwamba watajipanga kwenye uenyekiti kwenye uchanguzi ndani ya chama 2022 ili waweze kupambana naye vizuri vizuri panapo 2025.
Historia inatuambia kuna watu walijaribu kutaka kufanya hivyo 2012 kwa kutaka kupiga kura za maruhani kwa mgombea uenyekiti lakini...
Makamu Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo, Zanzibar Juma Duni Haji amejiuzulu nafasi hiyo, ili kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho, iliyokuwa ikishikiliwa na Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki dunia Februari 17 mwaka huu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).
Duni maarufu kama ' Bob...
High-level Dialogue: An Adaptation Acceleration Imperative for COP26 - Jakaya Mrisho Kikwete
The Global Center on Adaptation (GCA) convened a High-Level Dialogue towards shaping a clear “Adaptation Acceleration Imperative for COP26”. Just weeks from the start of COP26, the dialogue gathered...
Mohammed Dewji a.k.a Mo, amesema kikao walichokaa Septemba 21, 2021 kiliamua kwamba asiendelee kuwa Mwenyekiti wa Club ya Simba Sc kutokana na safari zake za kibiashara kuwa nyingi.
Hata hivyo amesema anaendelea kuwa mwekezaji katika klabu ya Simba huku akiahidi kushirikiana vizuri na viongozi...
Mgombea wa upinzani nchini Zambia Hakainde Hichilema anaongoza katika matokeo ya kura za awali katika uchaguzi mkuu.
Hakainde alionyesha kuongoza siku ya jana huku chama chake cha UPND kikikusanya kura katika majimbo mengi nchini humo.
Raisi alieko madarakani Edgar Lungu mwenye umri wa miaka...
Lissu ni Makamu Mwenyeki wa CHADEMA, asipokuwepo Mwenyekiti basi yeye anachukua mamlaka.
Nimeshtushwa na kauli ya Lissu kuzuia wanachadema wasimuwekee dhamana Mbowe, je anataka Mbowe aozee jela ili aupate Uenyekiti wa Chadema?
Mbona yeye yuko ubeleji kwa kuwa aliwekewa dhamana? Je, TAL ana...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza kuachia uongozi wa chama mwaka 2023
Pia, amewataka viongozi wa chama hicho Kanda ya Magharibi kutodumazwa na changamoto zilizojitokeza katika uchaguzi uliopita bali wajipange upya kudai na kusimamia haki
Hili jambo huwa silielewi kabisa. Kweli Mbowe kama binadamu ana madhaifu yake, lakini inakuwaje ni CCM ndiyo wanataka kuweka ukomo wa uenyekiti wa Mbowe CHADEMA?
Yaani ni kama Wamarekani waseme ni kwa nini wajerumani wanaendelea kumchagua Angela Merkel kuwa Kansela wao. CCM kuhusu Mwenyekiti wa...
Leo taarifa nilizopokea zinadai kuwa Dk. Kigwangala ametinga katika ofisi za CCM mkoa wa Mwanza (Jumuiya ya Wazazi) na kuchukua fomu kuwania Uenyekiti wa Jumuiya hiyo Taifa, huku akidai anaamini kuwa CCM ni chama makini na kwamba bado hakijapoteza mvuto.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.