ufadhili wa masomo

  1. S

    Naomba kujuzwa namna ya kupata ufadhili wa masomo nje ya nchi

    Wakuu hivi fursa unafanyaje kuzipata? Una-apply moja kwa moja kwenye chuo husika au kupitia serikalini? Au kwa yeyote mwenye ufahami
  2. L

    Wanafunzi wa Afrika wazidi kunufaika na ufadhili wa masomo kutoka China

    Na Tom Wanjala Mwezi Juni mwaka huu, maelfu ya wahitimu kutoka vyuo vikuu nchini China walifuzu na shahada mbalimbali. Miongoni mwao, walikuwa wanafunzi kutoka bara la Afrika. Wahitimu hawa walijumuika na wenzao wa China, wakiwa wamevalia majoho rasmi, tayari kupokea vyeti vya kuashiria kuwa...
  3. D

    Ufadadhili wa Masomo ya Uuguzi na Ukunga

    Wakubwa shikamoni wadogo wenzangu habari zenu mimi ni mwanafunzi wa uguuzi na ukunga katika ngazi ya diploma. Niliamua kusitisha masomo kutokana na kukosa ada ambayo nilijichanga kama kijana lakini kutokana na changamoto nimeshindwa kumalizia mwaka wa tatu naomba kama kuna mtu yoyote ana...
  4. H

    Ufadhili wa masomo Tanzania

    Habari wakuu, Naomba msaada wa kimasomo kwa atakayeguswa ama anaefaham mashirika yanayotoa misaada ya kimasomo kwa ngazi ya cheti. Natamani sana kuendelea na masomo ila hali ya kimaisha ndo changamoto kwangu nilifaulu kwenda form five nikasoma mpaka form six ila sikufanya mitihani yangu. Kwa...
  5. Elisha Sarikiel

    Taarifa ya majina 300 waliopata ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka 2020/2021

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anawatangazia watumishi walioomba ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kuwa zoezi la uchaguzi limekamilika. Jumla ya watumishi 300 wamechaguliwa kupata ufadhili kwa mwaka 2020/2021, ufadhili huu...
  6. H

    Ufadhili wa masomo

    A.alykum. kwa heshima na taadhima naomba niwasilishe ombi langu kwenu. Mimi ni kijana niliemaliza mtihani was form 4 mwaka 2016 na kupata ufaulu was div 2 ya 18. baada ya hapo nilitokewa na matatizo ya kiafya ambayo yalinifanya nishindwe kuendelea na masomo ya advance kwa kipindi Cha miaka...
  7. AjiraLeo

    HABARI NJEMA: UTUMISHI WAMETANGAZA NAFASI ZA - CHINA MOFCOM SCHOLARSHIPS 201O20.

    HABARI NJEMA: UTUMISHI WAMETANGAZA NAFASI ZA CHINA MOFCOM SCHOLARSHIPS 201O20. 📌WANAHITAJIKA WATANZANIA KWENYE VYUO 39 CHINA. 💰SERIKALI YA JAMHURI YA WATU WA CHINA ITAKUPA VITU HIVI: ▪Gharama za usafiri ▪Fedha Za Kujikimu ▪Gharama Za Mafunzo ▪Gharama Za Matibabu ▪Utalipiwa Ada ▪Fedha Ya...
  8. Msingi_Kiuno

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Wakuu habari ya muda, Nimefungua uzi huu ili tuweze kupeana dondoo za jinsi ya kutafuta na hatimaye kupata ufadhili wa masomo nje ya Tanzania. Tuweke matangazo ya nafasi za masomo kokote nje ya Tanzania, tupeane maelekezo na hatimaye wengi wetu tutoke na kwenda kujifunza dunia inaendaje upande...
Back
Top Bottom